Mkuu thanx sana, ila point yangu ni kuwa hizi lawama mtu fulan mchoyo mda mwingine ni kwa vile "tuna culture iliyotengenezwa in poverty regime"
Umeshawahi alikwa sehem ukaambiwa uje na Sahani? Au Bring your Own? Ikiwa ndio utakubaliana na mm kuwa huu utamaduni kuna sehem hau apply
Aliyeyaandika hayo maneno ni mimi mwenyewe na sioni kama yanaamaaisha nimelenga ukarimu unategemea jinsia,swali langu hilo ni kama nilivyokueleza awali ni jinsia ipi ikikosa ukarimu ndani ya nymba ni aibu zaidi?sijui nimeeleweka?au kwako wewe inamaanisha nimehusianisha ukarimu na jinsia?kama ndivyo uonavyo em nisaidie ningeulizaje ili nilete maana nilyokuwa naitaka ifike kwa watu yaani ni upande upi wa me au ke utakaoleta aibu zaidi kwa kukosa ukarimu?
daahhhh pole mkuu kwa yaliyokukuta ni taabu mmoja wapo anapokuwa kakosa ukarimu kabisa ndani ya nyumba,ila asante pia kwa mfano hai kwani kiukweli haya mambo yapo sana tu.kwa hiyo we hujarudia tena kwenda pale?
mada nzuri sana hii maana hamna kitu kinaboa kama limwanaume lizimaaa kufuatilia mambo ya jikoni,mtu anakulaje au kiasi gani inahuuuuu.......wanaume wenye hiyo tabia muache kazi za jikoni ni za mama labda kama unapenda kumsaidia na si kufuatilia anapika kiasi gani.....mwanaume mwenye hii tabia ni majanga.
wanawake na sie kama tuna hiyo tabia tuache sifa kuu ya mwanamke au mama ni ukarimu na sisi ndo tuna nafasi kubwa ya kuwabadilisha hawa wanaume wenye roho ya ubahili.
na mume mkarimu ni nani?
^^
one mistake wanawake wanafanya ni kuonyesha jeuri kwa mume..ila wanawake wanaojua siri ya upole kwa mume..wataweza kumbadili mwanaume bahili au mchoyo kuwa mume rafiki wa wageni.
^^
asante kwa mfano hai Crystal clear ila unaonaje hiyo hali ya mume kuwa na vitabia kama hivyo.kuna mume wa ndugu yangu ni mzungu huyo baba yaani ni mchoyo, wafanyakazi wakipika anapitapita jikoni kuangalia kama wanaonja chakula yaani wanyakazi wanakosa amani akiwepo. Wageni wakienda kwake wakipakua chakula anakuwa anaangalia sahani kama ni kingi anatoa macho wawe wageni wazungu au waafrica ila mkewe ni mkarimu sana.
asante kwa mfano hai Crystal clear ila unaonaje hiyo hali ya mume kuwa na vitabia kama hivyo.
Crystal clear hili jina sijui nimeliona wapi?Ni mbaya sana yaani kwenda kwa huyo ndugu yangu huwa sipendi ila mkewe anapenda sana ndugu wamtembelee but kula huku mtu anaangalia saan yako unakosa amani.
Ni mbaya sana yaani kwenda kwa huyo ndugu yangu huwa sipendi ila mkewe anapenda sana ndugu wamtembelee but kula huku mtu anaangalia saan yako unakosa amani.