sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,853
Niliwahi kupewa lifti ya kama km 15, bibi ndo aliniomba niwajoin. kumbe bwana hakutaka nipande ili wapite njia ya shortcut. bibi akatoa amri lazima wanichukue wapite njia ndefu. njiani tulikutana na bonge la foleni basi bwana alilalamika njia nzima mpaka nikataman kushuka ila nikamuonea aibu bibie
pole.....ila kuna wanaume wana gubu......hapo anaongea mpaka unafika.....