Ukaribisho

ikyenja

Senior Member
May 28, 2013
103
52
Wapendwa habarini!?

Natumaini mpo wazima na mnaendelea vyema. Mimi ni mgeni humu, kwa miaka mingi nimekuwa msomaji mzuri wa jf, na hadi jana nimefanikiwa kujiunga. Siku za mbeleni nategemea kuleta yangu hapa.
Naomba kukaribishwa
 
Karibu sana jukwaani
 
Ndugu ikyenja karibu sana Jukwaani.

Kwa kuwa umekua msomaji mzuri sana miaka iliyopita, basi naamini hapatakupa shida katika kuyahimili mambo ya humu.

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom