Acha kulia Lia umeleta work in progress tatizo labda hutaki barabara ikarabatiwe kwa sababu ya uchaguzi au sio?Ikumbukwe kuwa Dodoma wadogo waliahidiwa 112km kwa 112Bn/- kwa ajili ya kupendezesha jiji ili wamchague mgombea wa chama pendwa!

Kujaza mashimo udongo ndo kutengeneza barabara?? Mvua ikinyesha kidogo hapo mashimo yanarud Zaid na zaidAcha kulia Lia umeleta work in progress tatizo labda hutaki barabara ikarabatiwe kwa sababu ya uchaguzi au sio?
Kujaza mashimo udongo ndo kutengeneza barabara?? Mvua ikinyesha kidogo hapo mashimo yanarud Zaid na zaid
Acha kulia Lia umeleta work in progress tatizo labda hutaki barabara ikarabatiwe kwa sababu ya uchaguzi au sio?
Sera ya saccos kuhusu miradi ya kimaendeleo au tuseme barabara inasemaje?? Tuwape kula hasa DJYaani maendeleo ya nchi yanapimwa na maendeleo ya DAR ES SALAAM...... KITUKO CHA MWAKA HIKI.
DAR KUKIJENGWA FLY OVER NCHI NZIMA INAAMBIWA IFURAHI KISA FOLENI IMEPUNGUA.... NONSENSE how does it help us tulio huku maporini
Sera ya saccos kuhusu miradi ya kimaendeleo au tuseme barabara inasemaje?? Tuwape kula hasa DJ
Nilikuwa rusumo Jana hakika hii Barabara imeivua serikali nguo zote Hadi chupi.
Kipande kuanzia mizani Hadi nyabugombe ni kifo kwa malori na madereva.
Pia Benaco Hadi kule magereza kuelekea rusumo kinadhihirisha serikali ya uchumi wa Kati..... Mbovu mbovu mbovuuuuuu.
Mabibi na mabwana kipindi cha kampeni ndiyo hiki. Wapo wanaojinasibu na ubora wa miundombinu waliyojenga nchi nzima.
Labda kama ni miundombinu kiini macho!
Hivi karibuni baada ya kelele za kutosha waziri wa wizara husika japo bunge lilishavunjwa aliwahi mbio mbio kabla ya hatari:
Kabla ya Lissu, Waziri wa Ujenzi atembelea barabara ya Rusahunga - Rusumo
Baadaye akafuatiwa na katibu mkuu wa wizara husika. Huyu pamoja na kukiri aibu iliyokuwapo kuhusiana na hali ya barabara hii, aliagiza kazi ya usiku na mchana 12Bn/- zikiwa zimetolewa kwa ajili ya kipande hiki cha 92km.
Kufuatia hatua hizi pichani ni kichekesho cha millenia. Hakuna kazi kazi ya usiku na mchana. Kama kazi hii inahusisha 12Bn/- ambazo zimeshatolewa, labda kama ni upigaji mwingine tu:
View attachment 1556644
View attachment 1556647
View attachment 1556648
View attachment 1556657
View attachment 1556685
View attachment 1556657
View attachment 1556745
View attachment 1556644
Ikumbukwe kuwa Dodoma wadogo waliahidiwa 112km kwa 112Bn/- kwa ajili ya kupendezesha jiji ili wamchague mgombea wa chama pendwa!
Kwa Huko unakosema sera itakayotumika ni kuwekeza kwenye maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu, wamegundua walikosea kuwekeza kwenye maendeleo ya vitu.Utalalama sana ila kwa hali ya barabara hii ilivyo ndiyo maana huwezi kumsikia jiwe akiiongelea. Mbona ma flyover na ma SGR anaongea? Ikifika hii anakuwa bubu?
Kulikuwa na umuhimu gani na airport za Chatto, Msalato au madege kama barabara kuu ziko hivi?
Kwa Huko unakosema sera itakayotumika ni kuwekeza kwenye maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu, wamegundua walikosea kuwekeza kwenye maendeleo ya vitu.
Yaani sasa maendeleo ya watu hamtaki tena? Mnaona mnadanganywa??Wamegundua lini na kuanza kuwekeza kwenye maendeleo ya vitu? Mbona unataka kuwaonea kwa kuwaondoloea sifa zao waasisi hawa?
Kwani ni siri? Hawasafishiki hata kwa Jiki!
"Tell the rest to the birds!"
Hatudanganyiki.
Yaani sasa maendeleo ya watu hamtaki tena? Mnaona mnadanganywa??
Basi turudi tena kwenye maendeleo ya vitu , itajengwa 2020-25.
Tunashukuru kwa kuunga mkono juhudi na maendeleo ya vitu, ndio chachu ya maendeleo
Hivi Strabag walitengeneza kipande kipi 2012/15?
Hizi mvua hazijafika huko?Wamechoka ni balaa na hiyo ni barabara kuu. Tunayo rushwa ya kuwapa Dodoma ili tupate kura. Vipaumbele zero:
View attachment 1556863
This is purely foolishness of highest order...ni bora uache tu.Mabibi na mabwana kipindi cha kampeni ndiyo hiki. Wapo wanaojinasibu na ubora wa miundombinu waliyojenga nchi nzima.
Labda kama ni miundombinu kiini macho!
Hivi karibuni baada ya kelele za kutosha waziri wa wizara husika japo bunge lilishavunjwa aliwahi mbio mbio kabla ya hatari:
Kabla ya Lissu, Waziri wa Ujenzi atembelea barabara ya Rusahunga - Rusumo
Baadaye akafuatiwa na katibu mkuu wa wizara husika. Huyu pamoja na kukiri aibu iliyokuwapo kuhusiana na hali ya barabara hii, aliagiza kazi ya usiku na mchana 12Bn/- zikiwa zimetolewa kwa ajili ya kipande hiki cha 92km.
Kufuatia hatua hizi pichani ni kichekesho cha millenia. Hakuna kazi kazi ya usiku na mchana. Kama kazi hii inahusisha 12Bn/- ambazo zimeshatolewa, labda kama ni upigaji mwingine tu:
View attachment 1556644
View attachment 1556647
View attachment 1556648
View attachment 1556657
View attachment 1556685
View attachment 1556657
View attachment 1556745
View attachment 1556644
Ikumbukwe kuwa Dodoma wadogo waliahidiwa 112km kwa 112Bn/- kwa ajili ya kupendezesha jiji ili wamchague mgombea wa chama pendwa!
This is purely folishness of highest order...ni bora uache tu.
Kuna watu mazezeta sana.