Ukarabati kichekesho Rusahunga - Rusumo

Ukarabati kichekesho Rusahunga - Rusumo

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Mabibi na mabwana kipindi cha kampeni ndiyo hiki. Wapo wanaojinasibu na ubora wa miundombinu waliyojenga nchi nzima.

Labda kama ni miundombinu kiini macho!

Hivi karibuni baada ya kelele za kutosha waziri wa wizara husika japo bunge lilishavunjwa aliwahi mbio mbio kabla ya hatari:

Kabla ya Lissu, Waziri wa Ujenzi atembelea barabara ya Rusahunga - Rusumo

Baadaye akafuatiwa na katibu mkuu wa wizara husika. Huyu pamoja na kukiri aibu iliyokuwapo kuhusiana na hali ya barabara hii, aliagiza kazi ya usiku na mchana 12Bn/- zikiwa zimetolewa kwa ajili ya kipande hiki cha 92km.

Kufuatia hatua hizi pichani ni kichekesho cha millenia. Hakuna kazi kazi ya usiku na mchana. Kama kazi hii inahusisha 12Bn/- ambazo zimeshatolewa, labda kama ni upigaji mwingine tu:

IMG_20200902_175024_650.jpg

IMG_20200902_175210_212.jpg

IMG_20200902_175323_164.jpg

IMG_20200902_175546_122.jpg

IMG_20200902_175749_341.jpg

IMG_20200902_175546_122.jpg

IMG_20200902_191511_824.jpg

IMG_20200902_175024_650.jpg

Ikumbukwe kuwa Dodoma wadogo waliahidiwa 112km kwa 112Bn/- kwa ajili ya kupendezesha jiji ili wamchague mgombea wa chama pendwa!
 
Nilikuwa rusumo Jana hakika hii Barabara imeivua serikali nguo zote Hadi chupi.
Kipande kuanzia mizani Hadi nyabugombe ni kifo kwa malori na madereva.
Pia Benaco Hadi kule magereza kuelekea rusumo kinadhihirisha serikali ya uchumi wa Kati..... Mbovu mbovu mbovuuuuuu.
 
Wamiliki wa Malori woote bila kujali itikadi za vyama, madereva wa Malori na watumiaji wote wa Barabara hii ya lusahunga -rusumo SERIKALI IMESHINDWA KUTENGENEZA BARABARA HIIYO LABDA KUNA MPANGO WA KUUA BIASHARA YA MALORI ILI TRENI YA SGR IFANYE KAZI.... 2020 INATOSHA KUWAADHIBU WAHUSIKA WOTE

VOTE THEM OUT
 
Nilikuwa rusumo Jana hakika hii Barabara imeivua serikali nguo zote Hadi chupi.
Kipande kuanzia mizani Hadi nyabugombe ni kifo kwa malori na madereva.
Pia Benaco Hadi kule magereza kuelekea rusumo kinadhihirisha serikali ya uchumi wa Kati..... Mbovu mbovu mbovuuuuuu.

Kaahidi 112Bn/- kwa 112km kupendezesha jiji Dodoma. Anapendezesha jiji Dar na daraja la salenda.

Barabara hii kuu 92km katoa 12Bn/- ambazo bila shaka ni hewa. Ahadi ya katibu mkuu wizara ya ujenzi majuzi sasa kazi usiku na mchana.

Usiku na mchana kwa machepe kusambaza udongo tu?

IMG_20200902_211523_075.jpg

Udongo huu unaosambazwa hivi utadumu muda gani?

Si kuwa ni kupeana ulaji tu la maana hakuna?

Barabara hii iko hivi kwa miaka lukuki sasa:

Hali ya mbaya mno ya barabara Nyakanazi Rusumo vipaumbele vyetu ni nini?

Ziara ya Kagera, Magufuli usiende pekee tu Wasaidizi wako wanakokupangia kwenda

Nyuzi mbili hizi ni za 2017. Kwa hakika hayapo masikio ya kufa kuliko haya.

Hawa kusikia ni kama kenge!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yaani maendeleo ya nchi yanapimwa na maendeleo ya DAR ES SALAAM...... KITUKO CHA MWAKA HIKI.
DAR KUKIJENGWA FLY OVER NCHI NZIMA INAAMBIWA IFURAHI KISA FOLENI IMEPUNGUA.... NONSENSE how does it help us tulio huku maporini

Pana harufu ya upigaji mengine ni hadithi tu mkuu:

Madhila ya Barabara Rusahunga -Rusumo

Wala husikii kawajibika mtu.
 
Eti ndege, za nini kama tuna barabara kuu kama hii?
 
Kaahidi 112Bn/- kwa 112km kupendezesha jiji Dodoma. Anapendezesha jiji Dar na daraja la salenda.

Barabara hii kuu 92km katoa 12Bn/- ambazo bila shaka ni hewa. Ahadi ya katibu mkuu wizara ya ujenzi majuzi sasa kazi usiku na mchana.

Usiku na mchana kwa machepe kusambaza udongo tu?

View attachment 1556871

Udongo huu unaosambazwa hivi utadumu muda gani?

Si kuwa ni kupeana ulaji tu na kanaanza hakuna?

Barabara hii iko hivi kwa miaka lukuki sasa:

Hali ya mbaya mno ya barabara Nyakanazi Rusumo vipaumbele vyetu ni nini?

Ziara ya Kagera, Magufuli usiende pekee tu Wasaidizi wako wanakokupangia kwenda

Nyuzi mbili hizi ni za 2017. Kwa hakika hayapo masikio ya kufa kuliko haya.

Hawa kusikia ni kama kenge!

Surely hii serikali imejaa siasa kuliko vitendo.....hii ni hatari coz hii Barabara ni lango kuu la nchi za jumuiya ya Africa mashariki, Congo na bandari yetu ya dar....
Wafanyabiashara wa Malori wanaikwepa Sana Barabara hii kuepuka hasara
 
Barabara za nini,wananchi watakula barabara,maendeleo yanayotakiwa na chadema ni maendeleo ya watu na sio vitu.hiyo barabara acha ibaki kama ilivyo,hii ni kwa mujibu wa misimamo ya Chadema.

Wahi buku 7. Ila barabara si Dar na Dodoma tu.

Kwingine ambako CDM inabidi wawahi ili kumnanga vilivyo mnyapara huyu wa barabara ni huku.

Yeye si bingwa wa kukaririgi makilomita.

Hana lolote!

Katoa 12Bn/- kwa 92km kwa kazi hii?

IMG_20200902_191511_824.jpg

Hiyo ndiyo ya usiku na mchana. Katika serikali ya awamu ya tano peke yake!

Dodoma anatoa 112Bn/- kwa 112km kupendezesha jiji.

Hiiiii Bagosha!
 
Mabibi na mabwana kipindi cha kampeni ndiyo hiki. Wapo wanaojinasibu na ubora wa miundombinu waliyojenga nchi nzima.

Labda kama ni miundombinu kiini macho!

Hivi karibuni baada ya kelele za kutosha waziri wa wizara husika japo bunge lilishavunjwa aliwahi mbio mbio kabla ya hatari:

Kabla ya Lissu, Waziri wa Ujenzi atembelea barabara ya Rusahunga - Rusumo

Baadaye akafuatiwa na katibu mkuu wa wizara husika. Huyu pamoja na kukiri aibu iliyokuwapo kuhusiana na hali ya barabara hii, aliagiza kazi ya usiku na mchana 12Bn/- zikiwa zimetolewa kwa ajili ya kipande hiki cha 92km.

Kufuatia hatua hizi pichani ni kichekesho cha millenia. Hakuna kazi kazi ya usiku na mchana. Kama kazi hii inahusisha 12Bn/- ambazo zimeshatolewa, labda kama ni upigaji mwingine tu:

View attachment 1556644

View attachment 1556647

View attachment 1556648

View attachment 1556657

View attachment 1556685
View attachment 1556657

View attachment 1556745

View attachment 1556644

Ikumbukwe kuwa Dodoma wadogo waliahidiwa 112km kwa 112Bn/- kwa ajili ya kupendezesha jiji ili wamchague mgombea wa chama pendwa!
Naona siku hizi ZILE RAMLI ZA CORONA UMEACHA KUPIGA.
 
Back
Top Bottom