Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

Unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wakati wanafunzwa na Mapropesa?
 
Machadema mnaweweseka , anakongurumia wapi ? Huko ufipa? CCM inawahusu nini?
Sasa mbona mnashupaza shingo Mbowe atoke, tokea lini maccm yakaitakia mema Chadema, pua zitawatanuka sana
 
Ondoa mashudu yako hapa, CCM ni chama dume , acheni kulialia na wivu wa kike
Sasa kama ni chama dume kwanini hamjiamini mkaweka uwanja Sawa wa siasa tuone kama nyie ni vidume au mtetea
 
We nawe. Kima ana afadhali.
 
Mbowe anapitia changamoto sana, amezungukwa na watu wa system wengi tuuu. Prof. Baregu ni mtu wa system kitambo sana.
Kuondoka kwa Dr. Silaha ni pengo kubwa sana, ambalo watu Wengi hawakuona kama ni doa kubwa. Sasa ndio watu wanaanza kuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Upuuzi mtupu
Kichwa cha habari kinasema ni CCM lkn ukisoma habari yenyewe uchwara wanasemwa CDM
Vijana mkivuta bange acheni kuandika pls


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu hilo ndio unaligundua leo!
 
Kwani umesikia mwanaccm gani anamzungumzia mbowe isipokuwa wanachadema wenyewe!
hebu endesheni nchi vizuri kuizungumzia chadema ni sawa na mke wa jirani kuona wivu kwa nyumba ya watu.tutengenezeeni nchi yetu na msitununulie tena ndege mbovu.
 
hebu endesheni nchi vizuri kuizungumzia chadema ni sawa na mke wa jirani kuona wivu kwa nyumba ya watu.tutengenezeeni nchi yetu na msitununulie tena ndege mbovu.
Kasuku wa kihindi huwa ana kariri tu,ndege gani mbovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…