Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

Ukanda bado unakitafuna chama chetu CCM

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,142
Reaction score
24,432
Mambo yanavyoendelea kimya kimya na lawama toka kambi mbili katika chama kambi ya katibu mkuu toka Kanda ya Ziwa na kambi ya mwenyekiti kutoka kanda ya kaskazini zimekuwa zikitupiana lawama kila moja kwa wakati wake kuwa mwenyekiti amezorotesha chama na kupelekea kwa wabunge na madiwani kuhama.

Wanaendelea kutoa pesa kumlipia gharama zisizo za na lazima dereva wa muhanga wa risasi ili hali anaweza kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo na mambo yamekwisha poa na hatafutwi kwa kuwa jalada lilishafungwa.
Ni lazima uchaguzi ujao mwenyekiti ang'oke.

Kambi ya mwenyekiti nayo imekuwa na shutuma lukuki kuwa katibu mkuu amekuwa baridi hata mikakati yake haipeleki chama mbele chini ya uongozi chama kimeendelea kupoteza majimbo na kata.

Ameshindwa kudhibiti mgawanyiko ndani ya chama na kuwatelekeza wagombea peke yao sasa ni lazima katibu mkuu ateuliwe mwingine na atoke kanda ya kaskazini ambako kuna wafia chama na waliopambana muda mrefu kukiweka chama kilipo!

Chanzo walio karibu na viongozi na wapambe wao!
 
Bila Mbowe chadema ingekuwa ilishakuwa Kama vyama vingine tu.

Hao wachonganishi hawawezi kumyumbisha mbowe.
Ukizaliwa familia yenye hela huwezi kubabaishwa na vihoja vya kimaskini na kuhama chama Kama hao wengine.

Mashinji mwenyewe ni mtu wa system.
Hakuna mtu ataweza kuipitisha chadema zaidi ya mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yanavyoendelea kimya kimya na lawama toka kambi mbili katika chama kambi ya katibu mkuu toka kanda ya ziwa na kambi ya mwenyekiti kutoka kanda ya kaskazini zimekuwa zikitupiana lawama kila moja kwa wakati wake kuwa mwenyekiti amezorotesha chama na kupelekea kwa wabunge na madiwani kuhama,
Wanaendelea kutoa pesa kumlipia gharama zisizo za na lazima dereva wa muhanga wa risasi ili hali anaweza kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo na mambo yamekwisha poa na hatafutwi kwa kuwa jalada lilishafungwa.
Ni lazima uchaguzi ujao mwenyekiti ang'oke.

Kambi ya mwenyekiti nayo imekuwa na shutuma lukuki kuwa katibu mkuu amekuwa baridi hata mikakati yake haipeleki chama mbele chini ya uongozi chama kimeendelea kupoteza majimbo na kata,
Ameshindwa kudhibiti mgawanyiko ndani ya chama na kuwatelekeza wagombea peke yao sasa ni lazima katibu mkuu ateuliwe mwingine na atoke kanda ya kaskazini ambako kuna wafia chama na waliopambana muda mrefu kukiweka chama kilipo!

Chanzo walio karibu na viongozi na wapambe wao!
Kipara bila akili ni sawa na kalio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna lolote, kipara chako kimejaa pumba tupu! Katu hamtotukosanisha cc tunajitambua!
 
Mambo yanavyoendelea kimya kimya na lawama toka kambi mbili katika chama kambi ya katibu mkuu toka Kanda ya Ziwa na kambi ya mwenyekiti kutoka kanda ya kaskazini zimekuwa zikitupiana lawama kila moja kwa wakati wake kuwa mwenyekiti amezorotesha chama na kupelekea kwa wabunge na madiwani kuhama.

Wanaendelea kutoa pesa kumlipia gharama zisizo za na lazima dereva wa muhanga wa risasi ili hali anaweza kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo na mambo yamekwisha poa na hatafutwi kwa kuwa jalada lilishafungwa.
Ni lazima uchaguzi ujao mwenyekiti ang'oke.

Kambi ya mwenyekiti nayo imekuwa na shutuma lukuki kuwa katibu mkuu amekuwa baridi hata mikakati yake haipeleki chama mbele chini ya uongozi chama kimeendelea kupoteza majimbo na kata.

Ameshindwa kudhibiti mgawanyiko ndani ya chama na kuwatelekeza wagombea peke yao sasa ni lazima katibu mkuu ateuliwe mwingine na atoke kanda ya kaskazini ambako kuna wafia chama na waliopambana muda mrefu kukiweka chama kilipo!

Chanzo walio karibu na viongozi na wapambe wao!

Sawa Komredi, Rekebisha basi hiyo title yako,naona umeweka CCM badala ya CDM.

Hata hivyo "ubarikiwe" Kwa kuwa "jirani mwema"
 
Mbowe anawatesa maccm yenu yamewashinda ya kusigina katiba yenu na kuwa chini ya one man mnakimbilia ya chadema mtapata tabu sana
 
Kusema u kweli Wa Mungu Mimi sijawahi kuwa na kadi ya chama tofauti na ya ccm kwa kulazimishwa na mwajiri wangu enzi hizo Mimi sipendi uonevu napenda haki lakini chama changu hiki kinapenda kucheza rafu mbinu za wizi wizi hata kwetu wenyewe ndani hakuna haki ukifuata haki unaachiwa manyoyaa Tanzania hakuna MWENYEKITI Wa chama mwenye mapenzi na chama kama Mbowe anamsimamo Wa dhati nakumbuka mwaka 1995 nilihudhuria kampani yake akiwa chama chake kimejiunga na nccr mageuzi kusema ukweli chadema ni chama cha umoja na kinapenda muungano naomba ccm sasa mbinu ya kumchafua Mbowe tuseme imeshashindwa na chadema KWA sasa kina wanachama wadhati ambao wanakipenda chama na Wa najuwa mbinu za ccm kukiuwa hakiwezekani kina mizizi ya wasomi wengi wanajitambua wengi ccm ni njaa tu inawaka siyo kuwa kinapendwa kwa dhati laah Mbowe hana ukabila
Mbowe anawajambisha sana maccm.
 
mpaka sasa bank 4 zimefungwa kwa hasara

Cement bei juu

sukari bei juu

tangu 2015 hadi leo hakuna salary increment

Wadhamini wa ligi kuu wamejitoa biashara hakuna

Trilion 1.5 ya bajeti imefisadiwa kwa mujibu wa report ya CAG

kwa miaka 3 ya Magufuli deni la taifa limepaa kutoka Trillion 28 hadi Trillion 60.

"Watanzania tembeeni vifua mbere kama meza ya kamari we are one the raiti traki"
 
Back
Top Bottom