Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
walimkalibisha mgeni chakula jamaa akawa anakula ugaritu bila kula mboga wakamwambia (ubhetamo nomikobhe) yaani uweunapita na kwenyemboga wakiwa na maana jamaa awe anakula na mboga, jamaa likasimama likaanza kukanyaga mboga