Hakuna asiyetaka uhuru (liberty) ila kama hujui ni kwamba MUNGU alisalitiwa na shetani na binadamu kwa sabb ya Liberty,
kama kuna ndoa inayotoka kwa MUNGU basi ni ile ambayo mwanamke anamuheshimu mumewe, na mwanamume anampenda mkewe yaaani hayo tuu inatosha
Na hii ndoa ndio haina ukali ni watu wanaheshimiana na upendo na kusikilizana kwa upendo sio ndoa za kama amiri jeshi mkuu na makuruta wake mpk unaishi kwa uoga