Ukali wa mwanaume hudumisha ndoa?

Ukali wa mwanaume hudumisha ndoa?

551c4499f6fbb14b0748a26b5c082bee.jpg
 
Teh...mijanaume mikali inagongewa sana wake zao, basi yenyewe inajiona vidumeee kumbe hakuna kitu.
 
ukali haufanyi ndo idumu,ila unafanya ndoa iwe imejaa unafiki wa kutosha

wanawake wanapenda mwanaume wanaoprove kwa matendo yao kwamba wao ni wanaume na sio kwa maneno au ubabe usio na kichwa wala miguu
Hainamaan maan ukali kama unavofikiri ww ati ubabe, .maan ya ukali wa mwanaume ni kuwa na msimamo dhabiti mke asikuyumbishe na akijaribu tu usimlazie damu
 
dawa ni kubuni system kila kosa na adhabu yake, orodhesha possible mistakes tengeneza guidelines ambayo yeye mwenyewe akikosea anareffer. kama kuchelewa zaidi ya saa 12 bila sababu adhabu yake ijulikane na makosa yakizidi 76% kwa mwaka kulingana na mwongozo adhabu yake naoa mke wa pili.
 
Atashindwaje kukuzoea wakati mnalala naye kitanda kimoja hadi kuvuliana nguo?
Nikwambie hata u-ect vipi, lakini wanawake Mola kawajalia akili za kutulia, ni lazima akuzoee na akuelewe hadi pumzi zako zinapoishia.
Kikubwa mapenzi na maelewano.
Sijui ugangwegangwe, tena wakujifunzia jf, atakukimbia ubaki ukihangaika na msururu wako wa watoto.
Akili za kuambiwa, changanya na zako kutokana na mazingira ya mwanamke mwenyewe.
Wanawake wana akili za kutulia kivipi????
 
dawa ni kubuni system kila kosa na adhabu yake, orodhesha possible mistakes tengeneza guidelines ambayo yeye mwenyewe akikosea anareffer. kama kuchelewa zaidi ya saa 12 bila sababu adhabu yake ijulikane na makosa yakizidi 76% kwa mwaka kulingana na mwongozo adhabu yake naoa mke wa pili.
 
Wanawake wa sasa usipokuwa mkali kidogo watakusumbua
 
Misimamo kwa mwanaume ndo inafanya tujue mipaka unajua kabisa nkivuka mpka hapa hakutalalika hivyo ndoa inadumu na sio ukali kwani mumeo ndio rafiki yako wa kwanza
 
Adhabu humfanya MTU kutii sheria mfano ukichelewa kazini kwako unaogopa kufukuzwa kazi ukiwa mpole sana mkeo hawezi kukuheshimu we Fanya majaribio kuwa mpole sana hats makosa yakifanyika we puuzia tu utayaona haya
 
Back
Top Bottom