Ukali wa mwanaume hudumisha ndoa?

Ukali wa mwanaume hudumisha ndoa?

Mi nna jamaa anamega mke wa mshkaji hivi jamaa mkali balaa huwa anapiga mke wake mpaka na viboko. Ninavyoandika ujumbe huu anamega
Bado sio mkali huyo...mkali means ni makofi,vichwa,ngumi...mitama pia imo...tena popote hata barabari km akikuona haongozi nyumbani..na akifika huko makofi tena....na akirudia rudia Fukuza kabisa. ..uone kama ndugu wakimuombea msamaha atarudia tena...sasa ww mke unampiga na khanga au mto ndy ukali huo mkuu?
 
Usiwe mkali kupitiliza wala usiwe mpole kupitiliza
Kuna Kimanka changu huwa nikikizingua, kinalia afu kinaomba msamaha mwenyewe.
Namwambia kwa huu mwili unavyouona nikikutia kofi basi wewe ni kuonana na Yesu huko juu.

Basi akiona nimemtolea macho anakuwa mnyonge na kuanza kuliaa.

hahaha
Mwanaume ujiweze bhana
 
vipigo tunavovisema hapa ni kakofi kamoja sio unapiga kama unaua mwiz alafu kila siku
kuna watt wanawafia wazazi wao akat wanaadhibiwa hii haizuii wazaz wengne kuadhibu watt wao sema unatafuta namna sahh
Hawa wanawake wa haki sawa unapiga kofi anarudisha unazani utaishia kofi au utakunja ngumi hasira ukisha iruhusu utajua hasara zake tusidanganyane
SIKUWAHI KUONA MZEE WANGU AKIPIGA MAMA YANGU NASIJAWAHI ONA NDOA IKITETEREKA NASITAKAA NIPIGE MKE HUO NI MSIMAMO WANGU
 
Mwanaume uwe na sauti sio zoba zoba. Ila machine na pesa ndo kila kitu Hanna mwanamke atafurukuta
 
Bado sio mkali huyo...mkali means ni makofi,vichwa,ngumi...mitama pia imo...tena popote hata barabari km akikuona haongozi nyumbani..na akifika huko makofi tena....na akirudia rudia Fukuza kabisa. ..uone kama ndugu wakimuombea msamaha atarudia tena...sasa ww mke unampiga na khanga au mto ndy ukali huo mkuu?
Punda angekua mnyama mwenye adabu kuliko wanyama wote Kama kipigo kinafundisha
 
Kuna Kimanka changu huwa nikikizingua, kinalia afu kinaomba msamaha mwenyewe.
Namwambia kwa huu mwili unavyouona nikikutia kofi basi wewe ni kuonana na Yesu huko juu.

Basi akiona nimemtolea macho anakuwa mnyonge na kuanza kuliaa.

hahaha
Mwanaume ujiweze bhana
Ha haa hata mie ningelia sio kwa mkwara huo lol
 
Mi nachojua mwanamke akikuzoea utapata shida
Atashindwaje kukuzoea wakati mnalala naye kitanda kimoja hadi kuvuliana nguo?
Nikwambie hata u-ect vipi, lakini wanawake Mola kawajalia akili za kutulia, ni lazima akuzoee na akuelewe hadi pumzi zako zinapoishia.
Kikubwa mapenzi na maelewano.
Sijui ugangwegangwe, tena wakujifunzia jf, atakukimbia ubaki ukihangaika na msururu wako wa watoto.
Akili za kuambiwa, changanya na zako kutokana na mazingira ya mwanamke mwenyewe.
 
Msimamo ni baada ya kuchukuwa hatua. ..msimamo bila ukali haukusaidii kitu mkuu...mfano karudi saa tano usiku kalewa....wewe utaonyesha msimamo gani? Zaidi ya makofi?sasa ukiamua kuhama kitanda ukalala chini ndy DUME BWEGE lenyewe tunalozungumzia hapa..
Msimamo ndo kitu cha kwanza kwa mwanaume/kiongozi yeyote. Even kwa wanyama nao wanazingatia sana misimamo yao. Laziwa uweke wazi misimamo yako tangu siku ya kwanza kabisa kufahamiana na mwenza wako. Mwanaume ndo anadetermine RULES OF THE GAME. Ukimwambia mwisho wa kurudi nyumbani ni saa 12 jioni lazima iwe hivyo. Ukali unafuata baada ya mhusika kushindwa kufuata rules zako ulizomuwekea. Kwa mfano, Wifi yako nimeshamkataza kupandisha wanaume anaowaita 'rafiki zake' kwenye gari letu, so siku akienda against na msimamo huo ataona dunia chungu (ndo ukali unapokuja sasa). Huwezi kuwa mkali bila kuwa na Grounds za kusimamia.

Sent from my C2105 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mwanamke unaye mwaka wa 10 bado hajakuzoea tu? Mwanamke unapaswa uwe rafiki yko...ila unakuwa kama SAA MBOVU VILE...hukawii kubadilika
Mkuu navyokwambia ndo hvyo ukimfanya akuone kama toy mfanye tu utajuta akili zao wanazijua wenyewe labda upate mke anaemia uanamke wake
 
Atashindwaje kukuzoea wakati mnalala naye kitanda kimoja hadi kuvuliana nguo?
Nikwambie hata u-ect vipi, lakini wanawake Mola kawajalia akili za kutulia, ni lazima akuzoee na akuelewe hadi pumzi zako zinapoishia.
Kikubwa mapenzi na maelewano.
Sijui ugangwegangwe, tena wakujifunzia jf, atakukimbia ubaki ukihangaika na msururu wako wa watoto.
Akili za kuambiwa, changanya na zako kutokana na mazingira ya mwanamke mwenyewe.
Kama wewe ambavyo huelewi akili zao zilivyo vivyo hvyo hata kwako inabidi asikuelewe sometym akili zako zilivyo

Ishi nae kwa akili
 
Mi nna jamaa anamega mke wa mshkaji hivi jamaa mkali balaa huwa anapiga mke wake mpaka na viboko. Ninavyoandika ujumbe huu anamega
Mkuu huyo mke ni mzinzi tuu..havihusiani na ukali wa mumewe...
 
Hata nyie mkileta maujinga ujinga kuna umuhimu wa kupigwa mara moja moja, inasaidia sana.
Wapi Heaven Sent unaukumbuka ule uzi mama?
 
Back
Top Bottom