Ukali wa mwanaume hudumisha ndoa?

Ukali wa mwanaume hudumisha ndoa?

Kwenye ndoa Mme na mke wanatakiwa kuwa marafiki, ndoa nzuri ni ile yenye amani na upendo, mnaweza kucheka pamoja, kutaniana na hata kulia pamoja. Ukiona ndoa iko na mmoja mkali mwingine anamuogopa ujue hiyo sio ndoa Bali ni MTU yuko na sex slave wake.
 
Mtoa mada hebu mfanyie utafiti huyo binti,anamuogopa mumewe kwa ukali au kwa kuwa yeye ni tegemezi?
 
Kwenye ndoa Mme na mke wanatakiwa kuwa marafiki, ndoa nzuri ni ile yenye amani na upendo, mnaweza kucheka pamoja, kutaniana na hata kulia pamoja. Ukiona ndoa iko na mmoja mkali mwingine anamuogopa ujue hiyo sio ndoa Bali ni MTU yuko na sex slave wake.
Yote uliyonena yana mantiki bt uhuru ukiwazidi mnataka kutupanda vichwani kwakutumia mwanya huo kua ..Hawezi nifanya lolote. So kaeni mkitambua pindi mkoseapo mtarekebiswa tu
 
Nipo upande wa mtoa mada

[HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG],
Mkuu, rekebisha usemi wako. Maana, pana Uzi niliona unasema utao baada ya 5yrs na leo unaandika kuwa uko na mleta mada.

Mkuu, Warembo watakukimbia teeeh teeeeh Haaaa haaaa teeeh teeeeh.
 
Yaani naisapoti mada yake mkuu..nikiwa na demu haimaanishi nitampiga kila siku
 
Yaani naisapoti mada yake mkuu..nikiwa na demu haimaanishi nitampiga kila siku

Duuuuuuh. [HASHTAG]#joseverest[/HASHTAG] ,

Mkuu, je wewe ukikosea , nawe Mkeo akikudunda unaonaje hapo!?
 
Wanawake wa siku hata wao wenyew wanajidharau, ikitokea una sauti kama yake unadhan nini kitatokea,
 
Kwenye ndoa Mme na mke wanatakiwa kuwa marafiki, ndoa nzuri ni ile yenye amani na upendo, mnaweza kucheka pamoja, kutaniana na hata kulia pamoja. Ukiona ndoa iko na mmoja mkali mwingine anamuogopa ujue hiyo sio ndoa Bali ni MTU yuko na sex slave wake.
Umeongea maneno yanayokupinga mwenyewe
 
Ili hatma ya maisha itimie, mmoja na amtawale mwengine, hujaelewa yaani mwanamume na amtawale mkewe, mbona lugha rahisi tuu😀😀😀
 
Habari yenu wana MMU wote,

Niende kwenye mada ya leo, kuna kitu nimekinotice kwa walio kwenye ndoa nilikaa na binti flani hivi ameolewa(sina mahusiano nae lakini) kuna kazi tulikua tukiimalizia mda ukawa umekwenda mno sasa yule binti akaanza kuogopa kuchelewa sababu ya ukali wa mumewe mpaka nikamuonea huruma ikabidi nimruhusu kazi yote niimalizie mimi.

Sio huyo tu wapo wengi sana wanaogopa kufanya makosa coz ya kuogopa ukorofi wa wanaume wao na wengi nnaopiga nao story wanakiri wanaume wapole ndo rahisi kusalitiwa coz ya kuwapa uhuru sana coz wanawake hawahitaji mume tu wanaitaji pia mtu awe kama baba yao kuwa adhibu wanapokosea wakaeka reference ya ile picha ya wanaume tunatakiwa tuwapige wake zetu hata mara moja kwa mwezi ili ndoa zidumu.

Ingawa wanawake wengi wanajaribu kulipinga hili but ndo ukweli ili ndoa idumu mwanaume inabidi ujitofautishe na mwanamke usiruhusu upuuzi wa kijinga jinga hapa sina maana usimpende mkeo wewe mpende kama kawaida ila akifanya ujinga unabadilika.
Mwanaume bora ni yule ambaye hasamehi haki za Mwenyezi Mungu lakini usamehe haki zake kwa mkeMke ni msaidizi wako na wala si mtumwa wako.kukufulia nguo,kukupikia,kumyonyesha mtoto wako nak si kazi yake .unapaswakumlipa.
 
Yote uliyonena yana mantiki bt uhuru ukiwazidi mnataka kutupanda vichwani kwakutumia mwanya huo kua ..Hawezi nifanya lolote. So kaeni mkitambua pindi mkoseapo mtarekebiswa tu

Kurekebishana kwa upendo ndio ndoa na kama ndoa ni ya Mungu hakuna wa kukupanda kichwani wala miguuni. Ukielewa maana ya ndoa na kujua haya ya dunia huwezi kuyaogopa kamwe.
 
Usiwe mkali kupitiliza,
1. atauzoea ukali wako na atatafuta mianya kwenye mapungufu

2. Unaweza kukosa taarifa/ujumbe au kitu muhimu kutoka kwa mkeo sababu ya ukali wako.

Mwanaume usiwe mkali, kuwa na msimamo.
Msimamo nijambo muhimu sana duniani kwa kila kiumbe hasa ukiwa wewe ndo kiongozi lazima uwe na msimamo iwe ni mzazi lazima uwe na msimamo kwa watoto wako ukimwambia mtoto ukifanya hivi nakupiga hakikisha akikosea unampiga kweli nakama ukimfumania mkeo unamuua yeye na huyo basha wake huo ndo msimamo ft mwanaume
 
Ukijua ndoa inayotoka kwa Mungu utaelewa.
Hakuna asiyetaka uhuru (liberty) ila kama hujui ni kwamba MUNGU alisalitiwa na shetani na binadamu kwa sabb ya Liberty,
kama kuna ndoa inayotoka kwa MUNGU basi ni ile ambayo mwanamke anamuheshimu mumewe, na mwanamume anampenda mkewe yaaani hayo tuu inatosha
 
Duh Kama kipigo cha wazazi na walimu wake akikumsaidia mpaka unamuoa unategemea kipigochako kitasaidia?
Nina ndugu wa karibu alikuwa anapiga mke wake Sana mwisho arimfia mikononi na jamaa yuko jela mwaka wa 4 huu
Kama maneno hayata mfunza ni bora nivunje ndoa tu
KWANI TUNAOA KUJA KUWAFUNDISHA AU.
 
Back
Top Bottom