Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,952
- 46,713
Kwa vigezo vipi watu wengi ambao hawakubaliani na kitendo cha wanawake wanaojiuza miili yao biashara yao kuingiliwa na kuvurugwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam huku wanaunga mkono mashoga kushughulikiwa na serikali?
Ni mkanganyiko mkubwa kutaka makahaba na madanguro yao wasiingiliwe au kubughudhiwa na serikali katika biashara yao wakati huo huo unatokwa na povu kuhusu ushoga.
Ni mkanganyiko mkubwa kutaka makahaba na madanguro yao wasiingiliwe au kubughudhiwa na serikali katika biashara yao wakati huo huo unatokwa na povu kuhusu ushoga.