John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Alikuwa anajenga huyoWengine ni kunguru mkuu, hawafugiki hata wawe na uhakika wa Kula kuvaa na kulala vitu ambavyo kwa %90 anafanana navyo mke mwenye ndoa yake, bado atauza mwili tu. Nimeyaona kwa binti wangu wa kazi alikuwa anapata mahitaji yote pale nyumbani kasoro ngono tu, lakini alikua usiku anatoroka kwenda kujiuza, anatoka mbezi mwisho, anaenda masoko ya Malaya sinza, Buguruni,Manzese na Kigamboni. Mchana alikua anavaa nguo za heshima usiku wa saa nne mpaka tano, anaoga anavaa vinguo vinavoishia mapajani anatoka zake kwenda kuuza nikakusanya ushahidi kwa kuona na kuambiwa na watu nikamuondoa.
Ndio huko huko, Waziri mfupiHuko ndo yule waziri aliibiwa bunduki, kifaru, blackberry, million 20 na mdada sio?
Hahaha duh kumbe huko ni sooNdio huko huko, Waziri mfupu.
hizi zote ni junction za magari, madreva chukueni hatua salamaHivyo hivyo. Tanangozi. ifunda. nyororo. Makambako. Igawa. Chimala. uyole. Mbalizi. Songwe. Mlowo. Tunduma eneo la mpemba
Panaitwa 'kaumba',sio kayumba Mkuu,hapawiki sana,biashara imehamia 'itigi.Mkuu ivi pale KAYUMBA vipi bado panawika na wateja jinsia zote wapo?
Aiseee hadi ifunda?Hivyo hivyo. Tanangozi. ifunda. nyororo. Makambako. Igawa. Chimala. uyole. Mbalizi. Songwe. Mlowo. Tunduma eneo la mpemba
Hao watoto wa salma hukuwakwaa kweli?maana hata wao bado ni binadamu wana hisia wanahitaji kupata hiyo kituMsamvu na Kahumba ndio sehemu maarufu kwa biashara ya K mkoa wa Morogo nikiwa first year SUA nilikuwa na kampani kubwa ya kuhudhuria Kahumba hii ilikuwa baada ya kuambiwa kuwa Chuoni kuna watoto wa Mama Salma wengi sana.
Ujumbe huu ni vema ukawafikia viongozi wetu wa mkoa wa dsm ambao kwao kila kitu ni pingu tuKwa tulipofikia ni ngumu kuzuia ukahaba nchini hasa kwa kutumia nguvu... Suala hili ni mtambuka linahitaj sera na mipango ya muda mrefu na si kukurupuka tu na kuwakamata kisha ata sheria za kuwashtak hauna inakulazimu uwaachie tu...
omba risiti mkuu nchi ipate kodi, adventure toka kigoma lililala hapo kumbe nawe ulikuwamo!Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika msamvu karibu a stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku,ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.
Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho,na bei zao ni sh 2000 =nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Kwa kweli pole, ila hapo kwa watoto wa kiume weka kwenye mabano, (vijana wengi wameijua dunia kupitia wadada wa kazi). Pole Sana.Mtoto wa kike ni mdogo umri miaka mitano tu, hata kaka zake ambao ni wakubwa hawakuwahi kumuona, muda anaotoka alikua anahakikisha tumejifungia ndani ndipo anatoka. Alikua analala chumba cha banda linalojitegemea, nashukuru kwa pole yako maana nilifuga kukunguru bila kujua.
Duh wawakatie leseni basi maana kodi zinapoteaHivyo hivyo. Tanangozi. ifunda. nyororo. Makambako. Igawa. Chimala. uyole. Mbalizi. Songwe. Mlowo. Tunduma eneo la mpemba
Hawakuwa na alama siwezi comment sana.Hao watoto wa salma hukuwakwaa kweli?maana hata wao bado ni binadamu wana hisia wanahitaji kupata hiyo kitu
kahumba sio kayumba.ndio ambapo wanafunzi wengi wa sua hupata ukimwi na kufia makaziniMkuu ivi pale KAYUMBA vipi bado panawika na wateja jinsia zote wapo?
Hivyo hivyo. Tanangozi. ifunda. nyororo. Makambako. Igawa. Chimala. uyole. Mbalizi. Songwe. Mlowo. Tunduma eneo la mpemba