Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Serikali inge ipitisha hii biashara tu maana kuendelea kujifanya inapiga vita wakati ndio kwanza inazidi kushamili siyo busara
madhara ni mengi kwa hii biashara kuliko faida, serekali haina haja ya kupitisha, ukiwaangalia wanaofanya biashara basi mwisho wao hawapati chochote, iyo 5000 unayopewa mara unakutana na mlevi anakuharibu na matibabu yake zaidi ya lakini tano, maambukizi yataengezeka na kulifanya taifa liendelee kutumia pesa nyingi kwa waathirika, biashara hii lazima ikomeshwe
 
Ni kweli usemayo lkn sasa haya yanayofanyika unadhani hayo madhara uliyoyasema hayatokei?
 
Duuuuuuuuu!!!!!!!!!!! Ctasahau morogoro msavu,nilifika ucku mida ya Saa tano , cjui hili wala lile nikaenda kutafuta sehemu ya kulala kufika pale nikakuta wasichana kibao ,nikaulizia chumba kabla hata cjajibiwa nashangaa navutwa huku na huku mimi ndo naenda naye,ikabidi niwe mkali,na mda huo wife nimemuacha kwny gari.wakuu nilitoka mita mia moja ili kunusuru maisha yng.
 
Daaaaa sipati picha jinsi ulivyotimua mbio,hiyo ndiyo moro
 
We mmakonde acha ushamba, je hao ambao mtoto wa miaka 14 ruhusa kuolewa, nani m'baya?
 
Khaaaaa, mimi nilivyoona kichwa cha habari nikadhani huo ukahaba wa Moro ni tofauti sana na ukahaba wa sehemu nyingine hapa TZ kumbe hamna jipya hapo, mambo yao ni yaleyale tu labda kama mtoa mada ndiyo mara yake ya kwanza kuviona vitendo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…