Ukabila waibuka Bungeni, wachaga wadaiwa kuididimiza Lindi na Mtwara

Mkuu nimekukubali huo ndio ushauri murua, kwa sababu wanalia lia bure hiyo serikali ya CCM ndiyo iliyowaweka hao wachaga sijuia wezi kwenye maofisi ya serikali, kwa nini wasijiulize kila kiongozi au director akihujumu au kuiba anapelekwa kusini kama adhabu badala ya jela???? Nasema hivi serikali dhaifu na mipango dhaifu ndiyo chanzo cha kukwamisha maendeleo ya kusini na kwingineko kote TZ!!!!Piga chini the whole system ya CCM tuanze upya kujenga nchi yetu, wezi wa kila aina sehemu yao ni jela!!!!!

 
achane uvivu jamani, kwa kweli kwa uvivu mnaongoza watu wa kusini, mnaamkia kwenye bao.............
 

...naunga mkono hoja,piga chini the whole system!...kuanza upya c ujinga!....hutaki unaacha,ila uclalamike tulia hivyohivyo
 
inashangaza kwa sababu ni mkakati wa kijinga,mkakati unaoeleweka na waliouasisi peke yao watu ambayo wakisikia maneno kama hayo yanatajwa wanaomba yanarudiwe, wamepotoka!hawa ni ambao wapo tayari kusema na kufanya chochote ili mradi wabaki madaraani,sio vibaya kama wanachofanya ni halali lakini wanafanya na kusema yasio stahili.eti ni watu wazima, eti wamesoma, eti ni chama makini

Alichokuwa anakisema mbunge ni upuuuzi mtupu hivi waliopanga wizi wa richmond ni wachaga, hivi waliokwapua fedha za epa ni wachaga
walioruhususu ndege ya jeshi la nchi ingine kutua kwe ardhi ya nchi hii na kuchukua wanyama wakiwemo twiga ni wachaga
Watu wote wenye fikra kama hizi acheni upuuzi wabunge wote acheni ujinnga. matamko kama hayo ni hatari hata kwenu na watoto wenu pia
Wenye viti na maspika kuweni makini mna dhamana ya kulinda umoja wa taifa kwa maslahi ya watu wote yakiwemo ya kwenu sio kusisitiza kurudia maneno ambayo ni wazi ni hatari.
 
Huyu mama amesema kuna mtandao wa maafisa mipango unaandaa bajet ndogo ya mkoa ili Lind ipewe hela ndogo ya maendeleo.ametaja majina kama Materu,ndeskoy,ngowi,ambao wana kes za kuiba halmashaur na wamehamishiwa Lindi na mikoa mingine mipya.
 
ni hao hao wabunge wa kusini wanaolalamika mikoa yao imepangiwa bajeti ndogo sasa sijui wachaga wamewapangia bajeti
 
Jamani ukiona mgonjwa wa degedege anapiga chafyia baada ya kupewa dawa has ile ya kisukuma inayoitwa NENGO ujue dozi imekolea na lazima mgonjwa atainua kichwa kama alikuwa ameanguka.Lindi na Mtwara viongozi wake hasa wabunge wamegundua kuwa wagonjwa wao yaani wananchi wameanza kupiga chafyia kwa hiyo wamegundua sasa wagonjwa karibu wanapona.sasa watamdanganya nani??? walizoea kunywa uji wa mgonjwa sasa mgonjwa kazinduka anataka uji na akina Membe walisha kunywa uji wa mgonjwa.KAZI WANAYO
 
.:bange:..kwa hiyo huyu mhe. wa viti maalum anatuthibitishia kuwa Serikali iliyopo madarakani haiwezi kuwawajibisha hao watendaji wa 'kichaga' wanaodidimiza maendeleo badala yake inawahamishwa siyo?
 

Kwa Faida yako na Wengine wengi ambao hawaujui mkoa wa kilimanjaro na watu wake.

Mkoa wa Kilimanjaro una makabila makubwa mawili ambayo yamegawanyika kwenye makabila madogo madogo mengi tu. Kuna Wachagga ambayo chini yake kuna makabila madogo madogo kama matano hivi, then kuna wapare nao wamegawanyika kama mara mbili hivi

Kwa hiyo neno Mchagga ni domain kubwa vile mtu asivyoweza fikiria. Mchagga Mbowe na Mchagga Mrema ni kabila mbili tofauti sana, Mchaga Lema na Mchagga Ndesamburo ni mchaga mbili tofauti kabisa. Hii inamaanisha hata Lugha hawaelewani kivile. Leo hii tukiwatoa ndani ya hiyo Domain Chagga utatengeneza makabila matatu tofauti kabisa.

zaidi soma Wachagga - Wikipedia, kamusi elezo huru
 

Mke wa Lowassa ni Mrangi
 
Mh. Lema alipofika Lindi alilia sana umaskini ulioko kule watu wakasema ni siasa lakini nashukuru wenye Lindi na Mtwara wanalia lakini hawalii na kuwalaumu viongozi walioko madarakani wanaangaika na mlango ambao kelele zake hazimzuilii mwenye nyumba kulala. Lakini siku inakuja wanaotabiriwa watashika kiulaini sana.
 

Hakika wewe ni Great Thinker.
 
huyu mbunge amwuliza Magayane aliropoka hivyo enzi za Mkapa akapotea kuhusu mkoa wa kigoma kuwa nyuma wakati wizaraya fedha ni ya wachaga enzi zile .1.Mlamba na wenzie
 
Dhambi hii ya ubaguzi lazima itawatafuna wale wote ambao ni waumini wa dhana hiyo.Ukabila,ukanda na udini imekuwa ndiyo sera ya chama tawala.Watanzania wenzangu tuondokane na kuwa wadanganyika,tunataka maendeleo hatutaki blah blah boombom.
 
Ama kweli ccm wameishiwa, mpaka wanafikia hatua ya kutuhumiana ukabila wenyewe kwa wenyewe, tena hazarani ndani ya Bunge. Ile methali ya Kiswahili inatimia, sikio la kufa........., hata umlete daktari bingwa toka India, bado litakufa tu.
 

Kwa taarifa yako, huyu mbunge ametumwa na ccm kuzima moto wa M4C mikoa ya kusini. Kinachosikitisha ni mbinu ya UBAGUZI wa kikabila wanayotumia badala ya hoja za msingi. Hivi tutakapoanza kubaguana kwa misingi ya dini na kabila, ccm itapona? Kwa nini ccm inataka kulisambaratisha Taifa hili? Vyama vitapita, lakini nchi hii itabaki. Ninasikitishwa sana na UDHAIFU wa Kikwete na serikali yake katika kukemea upuuzi huu. Inaonekana wanafurahia kuwatenga wachagga, itakapokuwa zamu ya wasukuma/wakurya/waarusha/wafipa nk, nchi haitakalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…