Ukabila waibuka Bungeni, wachaga wadaiwa kuididimiza Lindi na Mtwara

Ni kweli wachaga wezi kweli nimesikia na nimeamini kwani yule MP katoa na ushahidi wa fedha mamilioni na kataja majina mengi.....msg sent...

Sijui wizi wa Rada nao ulifanywa na wachaga? au EPA?

Naamini kama Lowassa angekuwa mchaga basi tungekuwa sasa hivi tuko kwenye very ugly chapter. Kutokana na udhaifu wao (CCM) wameshindwa kupambana na Lowassa, wakajaribu kumuweka karibu na CHADEMA lakini wakagundua sio mchaga sasa wakaja na kauli mbiu 'Kanda ya kaskazini'. Hivyo kutumia ukanda wanaweka sasa kumuweka ndani ya mabano Lowasa!

Wimbo wa Nape na Mukama wake wa Ukanda ni kielelezo tosha cha udhaifu wa CCM. Wamefikia hatua ya chini kabisa, wamefilisika kimawazo ndio maana wanamtumia huyu mbunge wa Lindi alaumu umaskini wa Lindi kuwa umeletwa na wachaga! Lakini madhara ya hii kauli ya leo yanaweza kuwa makubwa kuliko alivyodhani huyo mbunge.
 
Ndiyo maana tunasena hivi viti maalumu viondolewe ni upuuzi mtupu. Tangu lini serikali ya CCM iliwapa madaraka WACHAGA PEKEE kukusanbya kodi na kutekeleza mipango ya maendeleo ya nchi hii?

Ninaomba unitajie jina huyo mbunge mbumbumbu. Mikoa ya Lindi na Mtwara iko nyuma relatively kimaendeleo kwasababu ya sera mbovu za serikali ya CCM. Jana Mbowe alisema kwamba kama wananchi wa mikoa ya kusini wangefahamu kwamba korosho ni zao la tatu linaloliingizia nchi hii fedha za kigeni sidhani kama kuna mwana kusini angeipigia kura tena CCM kutokana na umasikini walionao watu wa kusini.

Sasa huyo hivi VITU MAALUMU anasema umasikini wa Lindi na Mtwara umeletwa na wachanga!?

Kwanza huyo MBUNGE angesimamishwa na SPIKA wa BUNGE kuendelea na huo upuuzi na pia kukemewa na Rais,

Lakini sasa hivi Rais wetu ni DHAIFU yeye mawazo yake ni kusubiri Ndege itengenezwe aruke Nje ya NCHI
 
Sasa mimi najiuliza wakuu wa mikoa na wilaya wanachaguliwa na kuteuliwa na nani? Chadema wanahusikaje kwenye uteuzi wa wezi? Chadema kwani ndio wanawahamisha hao watendaji? Chama gani kinaingoza nchi Chadema au CCM?

Mkuu umenena vema, siongezi neno hapo. Akibahatika kusoma hii post yako atajiona ndogo kama mbegu ya aradani
 
Mi naona wabunge wa viti maalumu hawana cha ziada zaidi ya majungu, najua huyo mama yupo kwenye kazi yakutaka kukipaka matope chama cha CDM kwasababu ni chama chenye nguvu na ushawishi mkubwa. Inamaana chama kilicho madarakani ni CDM.!au rais na waziri mkuu ni wachaga au niwa chama cha cdm. Awashike akili haohao wa kusini kwake.,aache ujinga na upumbavu wake wa kufikil.
 
Kuna mshikaji wangu ni mtu wa kanda ya ziwa ameniambia anataka kuowa demu wa kichaga awapendi ngono sana wanapenda kuwa wanawake wa kuitunza nyumba na familia,alikuwa na msichana wa kingoni anadai demu anapenda ngono ajabu
 
FJM.... imekukuta... ukweli mbaya....
Hapa hatuongelei CCM or CDM.... tunaongelea Wachaga
walivyo wezi.... ungemsikiliza MP na ushahidi katoa wazi unapinga nini..?


Sijui wizi wa Rada nao ulifanywa na wachaga? au EPA?

Naamini kama Lowassa angekuwa mchaga basi tungekuwa sasa hivi tuko kwenye very ugly chapter. Kutokana na udhaifu wao (CCM) wameshindwa kupambana na Lowassa, wakajaribu kumuweka karibu na CHADEMA lakini wakagundua sio mchaga sasa wakaja na kauli mbiu 'Kanda ya kaskazini'. Hivyo kutumia ukanda wanaweka sasa kumuweka ndani ya mabano Lowasa!

Wimbo wa Nape na Mukama wake wa Ukanda ni kielelezo tosha cha udhaifu wa CCM. Wamefikia hatua ya chini kabisa, wamefilisika kimawazo ndio maana wanamtumia huyu mbunge wa Lindi alaumu umaskini wa Lindi kuwa umeletwa na wachaga! Lakini madhara ya hii kauli ya leo yanaweza kuwa makubwa kuliko alivyodhani huyo mbunge.
 
jamani huyu kanizalilisha kama mtu ninayetokea kusini. bado wana fikra za ki magamba ndiyo maana ni maskini ambayo mimi siamini kusini ni maskini kwani kuna gas, mafuta, mazao yenye bei kubwa na huwa hakuna janga la njaa kule bali akili za hawa ccm ndizo zilizosimama na kuwa na viongozi kama akina membe na mkapa msimlaumu kafungua kusini sasa hivi panafikika japo naye ni fisadi tu.
 
FJM.... imekukuta... ukweli mbaya....
Hapa hatuongelei CCM or CDM.... tunaongelea Wachaga
walivyo wezi.... ungemsikiliza MP na ushahidi katoa wazi unapinga nini..?

Wameiba kwa sababu ni wachaga au wameiba kwa sababu nyingine? Na kwa nini serikali ya CCM yenye intelligensia ya kutabiri matukio ya fujo hata kabla ya maandamano inashindwa kuona huu wizi unaoendelea? badala yake wanawahamisha? Au hawa wakubwa ndio wanawatuma?
 
It was a complete and total nonsense kuhusianisha UCHAGGA au CHADEMA na mikoa ya kusini kuwa nyuma kimaendeleo.
Hivi, kama Mbunge anaongea upumbafu mkubwa namna hii, hakuna kanuni ya bunge inayopaswa kumtaka au arudiishwe darasani (primary school) au ajiuzulu kwa maslahi ya taifa na chama chake? Chama dhaifu, Wabunge dhaifu, hoja dhaifu, Rais dhaifu.
 
Ukiona hivo ujue huyo mbunge hana hoja..ila tu nae ametaka aonekana kachangia...maana CDM inahusikaje na ma-DC,na watumishi hao wengine...ndo shida ya akili ndogo kutawala akili kubwa..

Sasa mimi najiuliza wakuu wa mikoa na wilaya wanachaguliwa na kuteuliwa na nani? Chadema wanahusikaje kwenye uteuzi wa wezi? Chadema kwani ndio wanawahamisha hao watendaji? Chama gani kinaingoza nchi Chadema au CCM?[/QUOTE]
 
Kama wamelala wafanyweje,wacha waliwe nao walie tu,hii nchi ni yetu wote kama riziki iko Lindi kwanini isiliwe?,mipango yetu ni kuigeuza Lindi na Mtwara kama Dar,Arusha,Morogoro biashara zote nzuri za wachaga kisha tunaenda kujenga Moshi yetu.Riziki ya mbwa miguuni pake hata ikiwa haramu kwake ni riziki
:A S-rose::sad::sad::A S-rose::smow::smow::tonguez::tonguez::mod:
Nilitaka kuikubali point yako lakini umeonesha makamasi kwenye mawazo yako!Nani aamekwambia biashara nzuri zote ni za wachaga?Wachaga ni wachuuzi tu na vimitaji vyao vya vya kuuzia kitimoto na chupi!Nenda Mbeya kama utawaona au Iringa kama utawakuta!Dar unaijua vizuri wewe?Au na wahindi we unawaona ni wachaga wenzio?Nenda mwanza utawakuta wenzio wanakangishwa chipsi na wasukuma na wauza mabaa wakubwa siku hizi ni wachaga au hunywi?We waambie tu dada zenu wajipitishe kwa mafisadi wapigwe mambo yetu yale maana wanajua sana kulia kazini waolewe sio kujifanya eti wachaga wachaga mbona mi housegirl wangu mchaga?Kawatafute wakinga,Wahehe,Wapare,Wasukuma hata warangi wapo wengi tu na biashara zao za kufa mtu tena wapo mpaka china!Ila mwito wangu kwa watu wakusini ni kwamba CCM wala sio rafiki kwa maendeleo yenu kama mnavyowapamba kina membe.Hawana lolote wale ni wezi tu na mtaumia sana msipokua ngangari!CUF sio chama cha maendeleo ila ni Taasisi ya dini ya Kiislamu mtaishia kuvaa kanzu na misuli mpaka kiama PIGA CHINI HAOOO!weka CHADEMA PALE.
 
Ndo maana tunasema SERA ya UWEKEZAJI haitokaa iwafadishie watanzania walio wengi maana tunawaabudu sana wawekezaji wa NJE kuliko wa NDANI.

Mzungu leo akienda kusini akasema anataka kuinunua Mtwara nzima iwe mali yake Huyo Mbunge atakuwa wa kwanza kushadadia mzungu akubaliwe, lakini Mchagga akitaka hata kieneo kidogo tu watapiga kelele kama nini. Wivu wa kimaskini ni mbaya sana mheshimiwa Mbunge.
 
Viti maalum vingine bwana, bora mchakato wa katiba uanze tuvifute tu.sasa kiongozi kama huyu na upeo wake ndio hou kweli atawaongoza watu kupunguza umaskini?
 
washukuru kuja kwa hao wachaga atleast siku hizi kuna butcher za nyama ya ngome wasubiri muda si mrefu butcher za kitu motoooz .
nasikia siku za nyuma ilikuwa ni ajabu kula nyama ya ngombe
 
HUYU Mbunge Sidhan kama ana Akili ambayo inaweza Kupambanua Mambo!! Iweje Kwenye Nchi ya Tanzania watu waanze Kuwanyoshea Vidole Watu Kutoka sehemu Fulani ya nchi? Hii nchi ni ya Watanzania wote Bila Kuangalia Kabila la Mtu!! Kwanza ajiulize kwenye Eneo analotoka Lindi Ndio watu wameweza Kuwafaulisha Wanafunzi wasiojua Kusoma na kuandika na kuwapeleka sekondari Huku jitihada zikifanywa kuwaondoa Huko Kwa sasa!! Haoni Ilikuwa Muda muafaka kuulizia Kulikoni Mambo Kama Haya yametokea kwenye Mkoa Wake? Huyu Mbunge atafute Mambo yanayohusu Jimbo lake na namna ya Kuatatua na sio kutafuta Visingizio Vya Kiubaguzi!! Huwa nchi inatawaliwa na Taratibu na sheria na sio Hisia na Uvumi!!
 
Wakuu nimekua nikijiuliza siku nyingi neno mchagga au wachagga linavyotumiwa na watu wengi wakiwa na maana tofauti hasa kwa kuwasikiliza wanasiasa na kwa wale waliokuwa wanafuatilia bunge leo watakubaliana nami kuwa:
1.Wapo wanaosema Chadema ni chama cha wachagga.
2.Wapo wanaosema wachagga ni wapenda pesa.
3.Wapo wanaosema wachagga ni wezi.
4.Mbunge wa viti maalumu leo kasema wachagga wanarudisha nyuma maendeleo.
Sasa mimi najiuliza,Wachagga ni kabila au ni neno linalomaanisha kitu kingine?
Najiuliza hivyo kwasababu,kama Chadema ni chama cha wachagga,je yale makabila mengine yaliyopo chadema yamekosea njia?
Kama siyo,je wachagga waliopo vyama vingine wanatakiwa waondoke na waende chadema?
Kama wachagga ni wapenda pesa,je kila mpenda pesa ni mchagga?
Kama wachagga ni wezi,kwanini tunawapa madaraka makubwa na nafasi za maamuzi,na je wezi wote hasa waliopo jela ni wachagga?
Kama wachagga ni warudisha nyuma maendeleo nani anayewateua au kuwapa dhamana za uongozi?
Hapo ndipo ninapokosa jibu na kushindwa kuelewa kwani wachagga ni kabila au?
Naomba mnisaidie mawazo.
 
Huyo mbunge wa viti vya upendeleo kupitia magamba amewasilisha udhaifu wa CCM na mwenyekiti wao. CCM ipo ICU; wanatapatapa ili wananchi wenye elimu duni kwa sababu ya udhaifu wao wawaonee huruma na kuhalalisha uwepo wao madarakani. Hakika CCM ni janga la Taifa; Tusipokuwa makini wataligawa taifa letu kwa hoja dhaifu ya ukanda, ukabila, udini na rangi ya watu fulani.
 
Enzi za Mrema alisema Mrema akiwa Rais Wachagga watenda kula kisusio Ikulu. Husda dhidi ya wachagga haikuanza leo tokea hizo enzi za Chama kimoja.

Hapo awali Walikuwa na Msemo Rais hawezi kutoka kwenye makabila makubwa. Kabila kubwa hapo lililokuwa linaangaliwa kwa sana ni Wachagga.
 
Back
Top Bottom