Ni kweli wachaga wezi kweli nimesikia na nimeamini kwani yule MP katoa na ushahidi wa fedha mamilioni na kataja majina mengi.....msg sent...
Hoyce Temu ni mbondei?
Ndiyo maana tunasena hivi viti maalumu viondolewe ni upuuzi mtupu. Tangu lini serikali ya CCM iliwapa madaraka WACHAGA PEKEE kukusanbya kodi na kutekeleza mipango ya maendeleo ya nchi hii?
Ninaomba unitajie jina huyo mbunge mbumbumbu. Mikoa ya Lindi na Mtwara iko nyuma relatively kimaendeleo kwasababu ya sera mbovu za serikali ya CCM. Jana Mbowe alisema kwamba kama wananchi wa mikoa ya kusini wangefahamu kwamba korosho ni zao la tatu linaloliingizia nchi hii fedha za kigeni sidhani kama kuna mwana kusini angeipigia kura tena CCM kutokana na umasikini walionao watu wa kusini.
Sasa huyo hivi VITU MAALUMU anasema umasikini wa Lindi na Mtwara umeletwa na wachanga!?
Sijui wizi wa Rada nao ulifanywa na wachaga? au EPA?
Naamini kama Lowassa angekuwa mchaga basi tungekuwa sasa hivi tuko kwenye very ugly chapter. Kutokana na udhaifu wao (CCM) wameshindwa kupambana na Lowassa, wakajaribu kumuweka karibu na CHADEMA lakini wakagundua sio mchaga sasa wakaja na kauli mbiu 'Kanda ya kaskazini'. Hivyo kutumia ukanda wanaweka sasa kumuweka ndani ya mabano Lowasa!
Wimbo wa Nape na Mukama wake wa Ukanda ni kielelezo tosha cha udhaifu wa CCM. Wamefikia hatua ya chini kabisa, wamefilisika kimawazo ndio maana wanamtumia huyu mbunge wa Lindi alaumu umaskini wa Lindi kuwa umeletwa na wachaga! Lakini madhara ya hii kauli ya leo yanaweza kuwa makubwa kuliko alivyodhani huyo mbunge.
FJM.... imekukuta... ukweli mbaya....
Hapa hatuongelei CCM or CDM.... tunaongelea Wachaga
walivyo wezi.... ungemsikiliza MP na ushahidi katoa wazi unapinga nini..?
Hivi, kama Mbunge anaongea upumbafu mkubwa namna hii, hakuna kanuni ya bunge inayopaswa kumtaka au arudiishwe darasani (primary school) au ajiuzulu kwa maslahi ya taifa na chama chake? Chama dhaifu, Wabunge dhaifu, hoja dhaifu, Rais dhaifu.It was a complete and total nonsense kuhusianisha UCHAGGA au CHADEMA na mikoa ya kusini kuwa nyuma kimaendeleo.
Nilitaka kuikubali point yako lakini umeonesha makamasi kwenye mawazo yako!Nani aamekwambia biashara nzuri zote ni za wachaga?Wachaga ni wachuuzi tu na vimitaji vyao vya vya kuuzia kitimoto na chupi!Nenda Mbeya kama utawaona au Iringa kama utawakuta!Dar unaijua vizuri wewe?Au na wahindi we unawaona ni wachaga wenzio?Nenda mwanza utawakuta wenzio wanakangishwa chipsi na wasukuma na wauza mabaa wakubwa siku hizi ni wachaga au hunywi?We waambie tu dada zenu wajipitishe kwa mafisadi wapigwe mambo yetu yale maana wanajua sana kulia kazini waolewe sio kujifanya eti wachaga wachaga mbona mi housegirl wangu mchaga?Kawatafute wakinga,Wahehe,Wapare,Wasukuma hata warangi wapo wengi tu na biashara zao za kufa mtu tena wapo mpaka china!Ila mwito wangu kwa watu wakusini ni kwamba CCM wala sio rafiki kwa maendeleo yenu kama mnavyowapamba kina membe.Hawana lolote wale ni wezi tu na mtaumia sana msipokua ngangari!CUF sio chama cha maendeleo ila ni Taasisi ya dini ya Kiislamu mtaishia kuvaa kanzu na misuli mpaka kiama PIGA CHINI HAOOO!weka CHADEMA PALE.Kama wamelala wafanyweje,wacha waliwe nao walie tu,hii nchi ni yetu wote kama riziki iko Lindi kwanini isiliwe?,mipango yetu ni kuigeuza Lindi na Mtwara kama Dar,Arusha,Morogoro biashara zote nzuri za wachaga kisha tunaenda kujenga Moshi yetu.Riziki ya mbwa miguuni pake hata ikiwa haramu kwake ni riziki
:A S-rose::sad::sad::A S-rose::smow::smow::tonguez::tonguez::mod: