Ukabila waibuka Bungeni, wachaga wadaiwa kuididimiza Lindi na Mtwara

Hii imekaa kiutamu zaidi hata alipokuja Dar toka Mtwara inawezekana amepanda ndege au basi la Mchaga ukiacha hilo hicho anachonunua kwa ajili ya lishe labda ni toka duka la Mchagga ambaye anasema anamdidimiza kiuchumi! Hizi roho za kutu hizi zitatupeleka kubaya!
 
Hoyce Temu ni mbondei?

Hapana ni FARAJA KOTTA mtoto wa marehemu Major General Stefano Kotta mtu wa Bombuera kabla ya kufika Muheza mjini

hapo.jpg


Hoyce TEMU huyu hapa na sijui kama kaolewa na Waziri

IMG_1544.JPG
 
Kama wamelala wafanyweje,wacha waliwe nao walie tu,hii nchi ni yetu wote kama riziki iko Lindi kwanini isiliwe?,mipango yetu ni kuigeuza Lindi na Mtwara kama Dar,Arusha,Morogoro biashara zote nzuri za wachaga kisha tunaenda kujenga Moshi yetu.Riziki ya mbwa miguuni pake hata ikiwa haramu kwake ni riziki
:A S-rose::sad::sad::A S-rose::smow::smow::tonguez::tonguez::mod:
 
Hata hapo walipofikia huko Lindi na Mtwara wawashukuru watu waliohamia huko
walau ndo wamepeleka maendeleo kidogo, la sivyo kungekuwa kama siyo tz kapisa Ruwa oko Mangi.
 
watu wa kusini hata wakijitenga wataendelea kuwa masikini, hawajaelimika kiasi cha kuweza kusimamia athari za maendeleo ya kiuchumi. in fact hata kwenda kuwaeleza habari za maendeleo ni sawa na kupigia mbuzu kinanda, hiyo siyo priority yao. hawana tofauti na wazaramu wa dar es salaam ambao hukimbia maendeleo kila yanapowasogelea.
 
Kwani Mkapa si alitokea mtwara kilocho mshinda kupeleka maendeleo kilikuwa nini?
kanyi
ALISHINDWA KWASABABU YA ELIMU YAO KUWA DUNI HAKUWEZA KUWABEBA KABISA NA HAWAKUBEBEKA FOR THE PAST 10YRS, HILI NI FUNDISHO PIA KWA HIZI HAKI WANAZOZITAKA WENZETU WAISLAM KWAMBA USILAZIMISHE KITU WAPE WENYE KUWEZA KUMUDU JAMANI, MKAPA HAKUWA MJINGA NA HAKUNA ALIYEHOJI HILO!ONA MWENENU BABA RIZ AMEWALAZIMISHIA WAKWAO MADARAKA ,KWAKUWAOMBEA ELIMU YAKUFOJI FOJI YA VYUO VYA NJE SASA HIVI ANAWEKA MIKONO KICHWANI NAKUOMBA 2015 IFIKE WOTE WAMEMWANGUSHA ,SO MKAPA ALIONA MBALI SANA JUU YA HIYO JAMII JAMANI,NA HAO WEZI WANAPELEKWA KULE SABABU WANAJUA HAMNA CHAKUIBA NAPIA KUWAFUNGUA WATU AKILI,NA KWELI WAMAFIKA HUKO WAMENUNUA MAHEKARI WAMEJENGA WAMEKUWA WAFANYA BIASHARA ,KUNA HASARA NA FAIDA .ILA ASIIHUSISHE CDM.HAIWEZEKANI UFANYE KAZI KWA JUMA UKALE KWA HAMISI .
 
Let wachaga go, walishataka zamani kuwa na Nchi yao ya Kilimanjaro mkawang'ang'ania kama mnavyoinga'ang'ania Zanzibar leo. Sasa wanaichukua nchi nzima mlia lia nini? Hakuna sehemu ya Nchi hii yenye mkao wa maendeleo ya kibiashara na kiuchumi bila uwepo wa Mchaga.

Kama huko kusini mnataka maendeleo wapeni wachaga hiyo mikoa yenu muone itakavyobadilika fasta. Wenzenu wazaramo wamefanya hiyo ona jinsi Ubungo, kimara, mbezi kuja kibaha inavyobadilika fasta.

Maeneo kibao ya nchi hii wanapokuwa tayari kuweka ukabila pembeni na kuwapokea makabila yanayoijua hela na mambo ya uchumi kuingia kwenye maeneo yao huwa wanafanikiwa faster tu.

Wahaya kibao wameoa Wanawake wa kichaga; wanyamwezi, wasukuma wengi tu wanakimbilia Moshi kupata wake. Wanaelewa jinsi walivyo wachakarikaji kwenye mambo ya hela na uchumi.

Kwa hiyo wandugu kulalamika hakusaidii after all hao wachaga ni watanzania kama watanzania wengine; kulalamika eti wanafunika watanzania wengine hilo wala halitasaidia, ni sawa na waislam wanapolalamikia wakristo that will never change the fact kuwa wameendelea.

Wachaga Janja yao tokea awali ilikuwa kuhakikisha watoto wao hawaishii darasa la saba tu kama serikali ilivyokuwa inawaza, walihakikisha watoto wao walio wengi wanasoma hadi vyuo. sasa kama wao ndo wamesoma wengi kwanini ajira za serikali wasizichukue kwa wingi? Kila mwaka utasikia best school zinatoka kilimanjaro, katika best students 10 hukosi wachaga watatu wanne sasa kwanini best leaders pia wasitoke huko huko?

waswahili husema kelele za vyura hazimzuii tembo kunywa Maji.

All the best Anti-Wachangaz.
 
kwa wale wabishi, walafi wanaopenda leo kukwepa kesho, lazima zipigwe siku za usoni, kiudini, kikabila au vinginevyo

watanzania wabishi sana, tuepuke hili sisiem watatupiganisha
 
Ni mbunge wa viti maalum CCM kutoka Mkoani Lindi. Ametaja mtandao ambao umeonekana una majina ambayo yanaishia na rafudhi za kichaga kuwa ndio wameurudisha mikoa ya Lindi na Mtwara na wanahusisha mtanadao huo wa watendaji wa serikali walio na mafungamano na CHADEMA. Kawataja watendaji wezi ambao waneiba na kihamishwa ndani ya serikali. Kawataja wakuu wa wilaya na watendaji serikalini amewahusisha na ukabila na wote wakiiba wanahamishwa.

Sasa mimi najiuliza wakuu wa mikoa na wilaya wanachaguliwa na kuteuliwa na nani? Chadema wanahusikaje kwenye uteuzi wa wezi? Chadema kwani ndio wanawahamisha hao watendaji? Chama gani kinaingoza nchi Chadema au CCM?

Hii ndio matokeo ya ziara ya CDM kusini. Kila mbunge wa maeneo hayo anayesimama bungeni anaonesha walivyoweweseka. Mwl. Nyerere alisema pale Kilimanjaro hotel kuwa mwanasiasa yeyote ALIYEFILISIKA ni lazima atafute legitimization yake au ya hoja yake kwa ama udini au ukabila. Ipo siku watajinyonga! Bravo CDM!
 
Huyo mbunge wa Lindi ana uswiba wowote na Membe? Naona kama ametumwa huyo mama?
 
Back
Top Bottom