TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 25,306
- 11,753
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..
vipi wafuate cha wapi?? jamaica?
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..
Zero siyo hilo tu. Nakumbuka wakati wanazindua ujenzi wa barabara za East Africa, JK alitamka kitu kimoja juu ya ufuatiliaji wa ahadi nilishangaa sana, alisema ni muhimu kuwakumbusha waliotoa ahadi, tena alienda mbele zaidi na kusema wakati mwingine hata kuwatembelea na kuwaambia mzee unakumbuka ahadi yako? sasa kwa mtindo huo Mzee Dr JK ni zaidi ya Mhasibu.
Wewe naona umeshindwa kuchangia mambo ya msingi katika hii mada nzito na kuleta mzaha wa kijinga either sababu hutaki/huwezi kusoma mada yote na attached article au hujui cha kuchangia vile ushapigwa upofu wa fikra sababu ya njaa zako, yaani nyie ndo wale Makada mbuzi wa ccm ambao mpo mpo tu. Hamjui kutofautisha maslahi ya chama na maslahi ya nchi. Siku zenu zinahesabika, tutaelewana tu na usisahau kuwa CCM itakufa ila Tanzania itabaki pale pala. Weka maslah ya taifa lako mbele kuliko ya chama.Mkuu, kumbe unaijua vizuri hiyo familia?
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..
Ukiona umeweza kutambua mali za viongozi wetu ambazo kwa kiasi kikubwa zimapatikana kwa njia ya kifisadi basi jua hizo mali zimemzidi hadi anashindwa tena kuzificha. So inawezekana hayo mabasi ni just masalia tu ya mali alizonazo, otherwise huwezi kuona kitu. Kwani we unajua kama JK ana Miradi yoyote??nchii hii inabebwa na wafanyakazi kwa kulipa PAYE...na kwa kuwa hii pesa inakwatwa juu kwa juu basi wengi haiwaumi lakini ni pesa nyingi sana.......misaada mingi inaishia kwenye matumbo ya wezi wa ikulu na mawaziri wake wakiongozwa na mkuu wa nchi....nimeshangaa sana kuona makabrasha flani yakimtaja spika ane makinda nae ni mmiliki wa mabasi ya super feo yale yasiyokuwa na picha ya penguine!!!.... hahaha...nchi hii bana!!!!
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..
Well said,
Pia tukirudi kwenye swali lililoulizwa kwenye hiyo article 'Is UK aid fueling corruption in Tanzania' the answer is capital 'YES' kumbukumbu ya karibu kabisa ni wao (UK) kutuuzia RADA bomu kwa bei mara-mbili kwa kutumia hongo ya kufa mtu. Hapo bado kuna deals nyingine nyingi za aina hiyo ambazo hatujawahi kuzishtukia etc, etc...
Kwa kifupi Tanzania is not an exception, hakuna nchi yeyote ya Africa ambayo imewahi kuendelea kutokana na misaada ya kimaendeleo (so-called developmental aid programes) kutoka Ulaya. Kitabu cha mwanadada Dembisa Moyo kiitwacho 'Dead Aid' kinaelezea hayo mambo kwa ufasaha zaidi.
Dembisa Moyo author of the book 'Dead Aid'.
Nchi ombaomba huzaa Wananchi ombaomba.Pamoja na Mishahara bado watu wanaomba eti hata Wabunge huomba kwa waliowazidi kifedha.Kumbe tumerithi toka kwa Wakuu wetu wa nchi...NI AIBU!
Kwani wanaiba?hizo dhahabu si wanachukua wao? Wangekua na huruma na sisi watanzania wangekua wanunuzi tu na si wachimbaji