Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,933
- 32,342
Majibu -mkato ndiyo tatizo la Watanzania wengine kama wewe.Ndio maana kujivua umaskini itabakia ndoto.
Ni vizuri kukubali kukosolewa.Wewe unaona Tanzania ni nchi ya kujivunia kwa umaskini tulio nao?
Grow up kifikra bwana.
Ukweli ndio huo, au utuletee ukweli wako tofauti na huo.
Kwa hiyo wewe majibu yako marefu? Basi yatakusaidia kukuondolea umasikini.