UK yaichambua Tanzania, yaishangaa na kuibeza, tunaongoza kuombaomba kama nchi zilizokuwa vitani

Mh! Muganyiz R u Serious on this.......

"If you take a hyena to a well of a water, you can't force him or her to eat that water" Ta Muganyizi
 
Ta Muganyizi, waitu onganyile, okuba: tafadhali, kama unaweza, ninakuomba unipe rejea ya gazeti lililochapisha habari hizi kunako majuma matatu yaliyopita. Sikulisoma na ningelihitaji kusoma makala yote, kama yalivyochapishwa. Aidha, ningelikuomba unipe jina la gazeti hilo na/au, ukiweza, ukurasa wenye makala hiyo. Ninatanguliza shukrani. N
Wadau habari iliyochapishwa wiki tatu zilizopita kwenye media moja inaonesha UK ikiishangaa Tanzania na kusema kuwa yenyewe ni ya 3 Africa kwa uzalishaji wa dhahabu lakini inaombaomba kinoma kama iraq........hebu Soma kipengele hiki kisha ufuate link hiyo utashangaa mwenyewe. Yaibeza kusherekea miaka 50 ya Uhuru wakati tunafanya ujinga tu.

Tanzania is the third largest gold producer in Africa and is rich in mineral resources. Despite its mineral wealth, it is the largest recipient of development aid from Britain and has received in excess of US$2.89 billion in aid (from all donors) in its 50 years of independence. It is Africa's top and, the world's third leading recipient of aid after war-torn Iraq. It depends annually on foreign aid by 45 per cent, receiving US$453 million for its 2011/12 aid budget under the umbrella of General Budget Support (GBS). Despite these massive amounts of foreign aid, there has been no significant decrease in poverty over the last 20 years and the country is lagging behind on key development goals for safe water, income and health despite considerable economic growth. The 2007 Tanzania Household Budget Survey showed very little change in income poverty since 1991. Overall, in the 16 year period between 1991 and 2007, poverty fell by about five per cent. But most of this change can be explained by progress in Dar es Salaam. In rural areas, and other urban areas, the decline in poverty is too small to give confidence that poverty has actually fallen (Policy Forum-Tanzania). High economic growth in Tanzania has not been pro-poor.

Ili kuona jinsi wazungu hawa walivyotudadavua.....bonyeza hapa usione uvivu Tanzania – Is UK aid fuelling corruption? - In2EastAfrica - East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education
 
Ta Muganyizi, waitu onganyile, okuba: tafadhali, kama unaweza, ninakuomba unipe rejea ya gazeti lililochapisha habari hizi kunako majuma matatu yaliyopita. Sikulisoma na ningelihitaji kusoma makala yote, kama yalivyochapishwa. Aidha, ningelikuomba unipe jina la gazeti hilo na/au, ukiweza, ukurasa wenye makala hiyo. Ninatanguliza shukrani. N

Bonyeza tene hii link hapa : Tanzania – Is UK aid fuelling corruption? - In2EastAfrica - East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education
 
Mh! Muganyiz R u Serious on this.......

"If you take a hyena to a well of a water, you can't force him or her to eat that water" Ta Muganyizi

Kweli i mean hutanilazimisha nimpende JK hata kwa rungu.....kuhusu grammar niko right....maana mie ni graduate wa linguistics chuo kimoja hapa nchini
 
Hata kama hii inasehemu ya ukweli lakini si kweli kwa jinsi ulivyo iweka.....Tatizo ni kuwa yes wanatuhitaji lakini si kwa transaction cost kubwa kiasi hiki kwamba kukosekane social capital ambayo hata kama wao watakuwa wana benefit basi iwe kwamba waprovide pia governance..wazungu hawana akili hiyo kabisa isipokuwa pale trust itakapo vunjika kabisa ndiyo wana wage into force lakini pale wanapoweza kula na kipofu na kwa garama nafuu wangependa zaidi hivyo kuliko hiyo ya direct confrotation. Tatizo kubwa la utawala wetu wanakula na fisi wote na fisi wakiwa wengi basi wengine njaa zitawaua hasa kama kuna visababishi vya fisi wenye namna fulani kutopewa kipaumbele...Hii ndiyo worry yao kubwa. Contrary akitokea mtu mwenye akili anayeweza kuweka mambo sawa wao waka pata sehemu yao na pia raia wakabaki better off huyo ndiyo wata mlinda kwa udi na uvumba not otherwise.

Nakubaliana na wewe kabisa. Nilikuwa nataka tu kuonyesha upande wa pili kwamba pia kuna unafiki mkubwa sana kwa nchi za magharibi. Kuna mmarekani mmoja aliwahi kuniuliza: hivi nyie waafrika mkoje? Mnawezaje kutawaliwa na jitu kama Mobutu miaka yote ile. Nilichofanya ni kumtafutia picha za Mobutu akiwa na familia za akina Bush na wengineo na kumuarifu kwamba siku viongozi wao watakapoacha kulinda mabazazi barani Afrika na kwingineko labda wenyenchi wataweza kutekeleza demokrasia ya kweli na kuondoa uozo katika safu zao za uongozi.

Halafu hiyo misaada si chochote wala lolote. Ni kiasi kidogo sana kulinganisha na tunachoibiwa. Tena sehemu kubwa yake huishia kuwafaidisha watu wao wenyewe na kingine kikimezwa na mafisadi wetu. Sie tunaishiwa kusingiziwa eti tumenufaika! Hebu wakate misaada na kuacha kujihusisha na masuala yetu kama hatutafikia jawabu sahihi la maendeleo. Ni uongozi wa modeli ya China tu ndio utakaoweza kutuondolea kadhia hii ya ulofa wa kujitakia.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Yote haya yameletwa na ccm kwanini wanapoenda kuomba hiyo misaada wasiwatimue kabisa kwani ndo ingekuwa njea mbadala yakumsaidia mzembe
 
Kuna mwana JF amewahi kuandika hivi........Miafrika ndivyo tulivyo.. naona alikuwa na vision fulani
 
Back
Top Bottom