UK-Africa Investment Summit 2020: Where is top level Tanzania representative?

abudist

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
848
1,000
Nchi 21 za Afrika zimehudhuria

Wawakilishi zaid ya 1500

Miradi ya jumla ya Pauni Bil 6.5 imetangazwa.

Je hatutaki fursa hii na sisi wanachama wa jumuia ya madola? Baada ya Brexit mwezi huu kuna fursa kubwa za biashara na waingereza. Au ni bora inatosha kufanya biashara na wachina tu? Deal kama hizi rais wa nchi anatakiwa awepo kwenye meza ili na Tanzania ipate mgao wa keki yake.

WhatsApp Image 2020-01-20 at 19.15.21.jpeg
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,401
2,000
January 20, 2020
London

Hotuba ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika kikao cha UK- Africa Investment Summit 2020

Source: video courtesy of RT
 
abudist

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
848
1,000
Nchi zote za common wealth afrika zimehudhuria?
Acha mawazo finyu mkuu achana na wengine wa jumuia ya madola. Tunaongelea sisi kama watanzania nchi hii ina watu zaidi ya milion 50, wasomi na wasio wasomi, wakulima, wajasiliamali n.k wote wanatafuta fursa. Si rais wetu kila siku anaongea kuhusu swala la fursa sasa hiyo ni nini? Kila akiapisha balozi anasisitiza waende wakalete wawekezaji si ndiyo? Halafu yeye mwenyewe kwenye fursa kama hizo anakaa kando:(. Ndiyo maana tunashindwa hata na Rwanda na hili ni tatizo la watu wenye mawazo kama yako mkuu. Hawatolipeleka hili taifa mbali shauri ya muono hafifu wa uchumi na maendeleo.
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
13,903
2,000
Acha mawazo finyu mkuu achana na wengine wa jumuia ya madola. Tunaongelea sisi kama watanzania nchi hii ina watu zaidi ya milion 50, wasomi na wasio wasomi, wakulima, wajasiliamali n.k wote wanatafuta fursa. Si rais wetu kila siku anaongea kuhusu swala la fursa sasa hiyo ni nini? Ndiyo maana tunashindwa hata na Rwanda na hili ni tatizo la watu wenye mawazo kama yako. Hawatolipeleka hili taifa mbali shauri ya muono hafifu.
Mimi nimeuliza swali wewe unaanza kuni attack
 
viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,001
2,000
Haya ni mapambano ya kisiasa na kiuchumi kati ya Umoja wa nchi za Ulaya na Uingereza baada ya kujitoa kwenye Jumuiya ya nchi za Ulaya.

Hoja ya msingi sio kuhudhuria summit bali kuchagua upande wa vita ya kiuchumi kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Uingereza!
[/QUOWho doesn't want to do trade with UK Or USA In this world , you are having a laugh
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,072
2,000
Nchi 21 za Afrika zimehudhuria

Wawakilishi zaid ya 1500

Miradi ya jumla ya Pauni Bil 6.5 imetangazwa.

Je hatutaki fursa hii na sisi wanachama wa jumuia ya madola? Baada ya Brexit mwezi huu kuna fursa kubwa za biashara na waingereza. Au ni bora inatosha kufanya biashara na wachina tu? Deal kama hizi rais wa nchi anatakiwa awepo kwenye meza ili na Tanzania ipate mgao wa keki yake.

21 African nations

🔹

1500+ attendees

🔹

£6.5bn of commercial deals announced

View attachment 1328928
Tunakimbizana na nida ujinga mtupu,
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,164
2,000
Sisi hata kwenye kuchagua huo upande tumeshindwa, tupo tunapambana na Upinzani! Tuna matatizo mahali si bure
Haya ni mapambano ya kisiasa na kiuchumi kati ya Umoja wa nchi za Ulaya na Uingereza baada ya kujitoa kwenye Jumuiya ya nchi za Ulaya.

Hoja ya msingi sio kuhudhuria summit bali kuchagua upande wa vita ya kiuchumi kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Uingereza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,630
2,000
Nchi 21 za Afrika zimehudhuria

Wawakilishi zaid ya 1500

Miradi ya jumla ya Pauni Bil 6.5 imetangazwa.

Je hatutaki fursa hii na sisi wanachama wa jumuia ya madola? Baada ya Brexit mwezi huu kuna fursa kubwa za biashara na waingereza. Au ni bora inatosha kufanya biashara na wachina tu? Deal kama hizi rais wa nchi anatakiwa awepo kwenye meza ili na Tanzania ipate mgao wa keki yake.

21 African nations

🔹

1500+ attendees

🔹

£6.5bn of commercial deals announced

View attachment 1328928

Acha vituko na wewe, jiwe akienda huko atakwenda kuongea kitu gani kikaeleweka?
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,548
2,000
Kagame hiki kimbelembele chake ni too much sasa kwenye meeting zote za kimataifa lazima awepo mbele.
Hii kidplomasia ina msaada gani?
.
Na kwa kuchangia mada ya uzi sisi ni donor country hatuna haja ya kujikombakomba
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
8,650
2,000
Uchumi wetu unakua kwa kasi ya zaidi ya 7% , wananchi wetu kipato kiko juu sasa na wanafurahia maisha, watoto wetu wanasoma buree, huduma za afya bora kabisa na zakisasa..

Tumeshaanza kujitegemea nakutoa misaada kwa nchi za kiafrica, hatuhitaji kwenda kwenye hizo summit acha waende mataifa masikini....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom