UK-Africa Investment Summit 2020: Where is top level Tanzania representative?

Tusha fail kwenye diplomasia ya kimataifa. We are a laughing stock!
You can say that, again and again..., huo ndio ukweli.
Nchi yetu Tanzania haijawahi, hata siku moja kuwa katika hali iliyomo kidiplomasia hivi sasa.

Tumebaki tu na wimbo "Economic Diplomaticy" bila hata ya kujishughulisha nayo. Mabalozi wanateuliwa na kupewa maagizo wafanye kivyao ambavyo hata 'support' kutoka nyumbani hakuna!

Wanabaki wanatishwa tu siku wanapolishwa viapo vyao, na hakuna lolote linalofuata baada ya hapo.
 
Saa zingine mi vizuri kuwa na kiburi cha uzima, if we can do things on our own, kuna ulazima gani wa kwenda kutembeza bakuri kwa mabeberu?
Sisi tuendelee na juhudi zetu za kujifamyia mambo yetu na kujiletea maendeleo kwa kutumia nguvu zetu, wakituona 'we are not giving a f*ck' watakuja wao wenyewe kujikomba kwetu.
Oooh, Mungu atuhurumie kwa mawazo ya aina hii!

Unataka kumkopyi aliyofanya miaka kadhaa kule nyuma? Disiplini ya kichina iko wapi hapa Tanzania!

Tena enzi tofauti kabisa..., wakati dunia ilishapiga hatua nyingi mbele, na tunaelekea kwenye fourth Industrial revolution, ya IoT na AI? Wewe unatafuta kujitenga, eti ujitegemee? Huku ni kujitegemea, au kujinyonga!

Na watu kama wewe, kwa uhakika ni watu waliosoma, wana elimu ya kutosha kabisa kuelewa kwamba unachoandika hapa hakiwezekani asilani!
Swali la kujiuliza, watu kama nyinyi mnafaidika vipi na kuirudisha nyuma Tanzania?
 
Kagame hiki kimbelembele chake ni too much sasa kwenye meeting zote za kimataifa lazima awepo mbele.
Hii kidplomasia ina msaada gani?
.
Na kwa kuchangia mada ya uzi sisi ni donor country hatuna haja ya kujikombakomba
Kagame alikuwa anachukia sana jinsi Kikwete alivyokuwa anapewa attention na wazungu zaidi yake ilikuwa inamuuma sana,sasa hivi ndo anatamba kujipendekeza kwa wazungu EAC nzima nadhani Africa nzima😂😂😂
 
Berlin Conference 1884.Sasa naona wameamua kuja mmoja mmoja. France-Africa. Uk-Africa,Russia-Africa,China-Africa,Japan-Africa. Hapa naweka conclusion Africa is potentiel. Thomas Sankara,Patrice Lumumba i wish mngekuwa hai.
 
Sawa kaka lakini umeona ulivyotoa yale maoni yako... Kidharau fulani hivi... Ni maoni mazuri lakini namna ya kuwasilisha nayo ina mata... You are professional...tunahitaji kuona utofauti wako na siye... Ni hayo tu ila kukuelewa nimekuelewa.

Asante sana. Ninaweza kuwa na mtazamo tofauti lakini nimejifunza jambo kwako.
 
Nchi 21 za Afrika zimehudhuria

Wawakilishi zaid ya 1500

Miradi ya jumla ya Pauni Bil 6.5 imetangazwa.

Je hatutaki fursa hii na sisi wanachama wa jumuia ya madola? Baada ya Brexit mwezi huu kuna fursa kubwa za biashara na waingereza. Au ni bora inatosha kufanya biashara na wachina tu? Deal kama hizi rais wa nchi anatakiwa awepo kwenye meza ili na Tanzania ipate mgao wa keki yake.


21 African nations

🔹

1500+ attendees

🔹

£6.5bn of commercial deals announced

View attachment 1328928
Akihudhuria hata balozi na kutangaza nini tunacho inasaidia hapa wewe mwenyewe umeona audience yake au target market in UK , hivyo kwenye forums kama hizo Balozi au Mwakilishi wa nchi yetu, huongelea hizo fursa zilizopo, tuna tantrade, kuna wa Tz wengine kama wafanya biashara na wakulima huhudhuria na kutanganaza fursa zilizopo,
 
Huku tuko busy kufunga line za simu ili wale jamaa nadhan hawazidi hata 100 wasiwe wanatutumia msg za tafadhali tuma hela kwenye namba hi! Pia tusiwe tunatukana viongozi yaani tumeamua kufunga fursa za simu za watu milion 20! Hata North Korea tumewazidi kwa u strict wa sheria za simu😅😅😅😅.
 
Saa zingine mi vizuri kuwa na kiburi cha uzima, if we can do things on our own, kuna ulazima gani wa kwenda kutembeza bakuri kwa mabeberu?
Sisi tuendelee na juhudi zetu za kujifamyia mambo yetu na kujiletea maendeleo kwa kutumia nguvu zetu, wakituona 'we are not giving a f*ck' watakuja wao wenyewe kujikomba kwetu.
Bro economics does not work like that! We need markets for our products and an investment to bring in this country. The president has been seeking and encourage investors to come in Tanzania! And when the occasion arise is NOT attending and taking that advantage instead is hidding away we are missing opportunities. At a such summit the head of state should have attended NOT a low rank representatives! Hiyo ni kuonyesha dharau tunaonekana hatuko seriously. Hicho kiburi chetu unachosema mkuu hakitusaidii kitu zaidi ya kutulostisha hii nchi ni maskini bro. Inahitaji ushirikiano wa kibiashara na uchumi na nchi za nje. Hizo Tanzanite na mazao au asili mali zetu zingine tutamuuzia nani kama unawanunia watu??? Haya ndiyo yale mambo ya korosho Mh. Rais alikataa ofa za wafanyabiashara eti akasema tunaweza hata kununua wenyewe sababu tuko mamilioni. Sasa mbona wewe hukununua korosho japo kilo moja?? Matokeo yake walioumia ni wakulima.
 
Aisee fasta sana....kuna mtu kakutag
 
Sidhani kama Dedan Kimathi angeshadadia hawa vinyangarika. Hapo eti ndio wakenya wanachekelea hadi gego la mwisho. Ngojeni hiyo BBI yenu muanze kuchinjana mundu khu mundu. Hakuna cha pingli-nywii wala nywee.
 
Rais Kenyatta yuko na waziri wa State for International Development, Alok Sharma akifungua Bond at London Stock Exchange sisi tunahangaika na NIDA.

chkbmezknkrkjsfkj5e2592ba9414b.jpg


President Uhuru Kenyatta on Monday at the London Stock Exchange (PHOTO: PSCU)
 
Back
Top Bottom