Ujumbe wenye mapendo mema kwa mabestito wangu wa ukweeee

Ujumbe wenye mapendo mema kwa mabestito wangu wa ukweeee

sina majuto yeyote bestito basi nimewakumbuka mabestito wangu kwani ni muda nilikuwa nimeacha si unajua mambo ya katiba yamenikatisha tamaa nilidhani nitaipata tanganyika yangu kumbe hakuna kitu kitu hicho kimenisononesha sana sikutegemea kabisa ndo kimenipa simanzi sikutegemea kuwa sisiem ingenifanyia hivi wakati maoni yangu niliyatoa mm kule bungeni

bestito ni hayo tu sijui kwa upande wako
Asante sana kwa kunikumbuka;
Pengine ungefunguka kwanza kidogo, inaonekana kana kwamba uko na majuto fulani fulani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom