Ujumbe wangu wa usiku wa leo.....

Ujumbe wangu wa usiku wa leo.....

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,097
Reaction score
34,913
UJUMBE WANGU WA USIKU WA LEO............jpg
 
Mtu wa 1: Tumsaidie jamani...

Mtu wa 2: Huyo? Unachokitafuta utakipata.

Mtu wa 3: Mi kumsaidia hapana ila kama unataka tumhoji ilikuaje akaingiza kichwa kwenye sufuria nipo tayari

Mtu wa 1: Jamani siyo vizuri, anahitaji msaada huyu

Mtu wa 4: Mi sitaki ushahidi naondoka.

Mtu wa 3: Pia naweza kubaki kushuhudia mbio anazoweza kukimbia binadamu na wingi wa damu anayoweza kutoa
 
😀 😀 😀 , ukishamtolea tu hilo Dubwasha, Mara paap njaa ishamdaka ,ana ww.

Ama kweli umenena vyema ,mtu unaweza msaidia na asiuthamini msaada wako
 
Ukitoa msaada hapo unageuzwa supu, mifupa itakuwa toothpick dadeki.
 
😀 😀 😀 , ukishamtolea tu hilo Dubwasha, Mara paap njaa ishamdaka ,ana ww.

Ama kweli umenena vyema ,mtu unaweza msaidia na asiuthamini msaada wako
labda wamkate kwanza miguu ya mbele halafu ndio wamsaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom