Ujumbe wangu wa leo huu hapo

Ujumbe wangu wa leo huu hapo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
1484702_10154753901445198_101935291430941269_n.jpg
 

Attachments

  • bongo.jpg
    bongo.jpg
    40.2 KB · Views: 546
Teh..tehh....
Karibu Ushirombo aiseeee...
 
ametisha sana naona hadi viambato kabeba
 
Kwa hiyo nina weza kufa kwa kipindupindu mkuu mjasilia

Hilo ndilo janga..! Ila ujue hii inji mkuu ni inji ya mchuma janga...! Look very you will go with water. Bongo nyumbani kwao majanga.
 
Last edited by a moderator:
Box limekubali mchizani anakuja bongo na mazagazaga yoote ndito zoote kitaa za kwake
 
Hilo ndilo janga..! Ila ujue hii inji mkuu ni inji ya mchuma janga...! Look very you will go with water. Bongo nyumbani kwao majanga.

aisee nimeangua kicheko baada ya kutafsiri "kiingilishi" ulicho kiandika!hii kweli ni awamu ya 5
 
Hilo ndilo janga..! Ila ujue hii inji mkuu ni inji ya mchuma janga...! Look very you will go with water. Bongo nyumbani kwao majanga.
Ok sasa itabidi nije kw amuda nifikie Hoteli ninafikiri kwenye Hoteli kubwa nitapata maji safina umem ingawa Dares-salaam mjini hakuna Maji safi naBado umem wa Tanesko niumeme wa mgao Mkuu mjasilia any way i will turn back very soon in europe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom