Ujumbe wangu wa Leo huu hapa

Ujumbe wangu wa Leo huu hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957

1904154_332240906938735_456734729805890143_n.jpg

=Je umekufa ? [HAPANA]

=Upo gerezani? [HAPANA]
= Umewahi onja maumivu ya kuwa mtoto wa mtaani? [HAPANA]
=Umelazwa hospitali? [HAPANA]
=Je unakosa chakula na sehemu ya kulala? [HAPANA]
=Je umekosa familia? [HAPANA]
=Wewe ni kipofu? [HAPANA]
=Je uko katika misukosuko ya kuhatarisha maisha yako? [HAPANA]
=Je wewe ni mzima mpaka dakika hii? [NDIO]
= Uliianza January salama na sasa uko July salama ?[NDIO]
=Unafamilia inayokujali? [NDIO]
=Umepata bahati ya kusoma? [NDIO]
=Unakipato unachoridhaka nacho? [NDIO]
=Unalala pazuri? [NDIO]
=Unajiamulia muda wa kula na kulala? [NDIO]
=Una aman na furaha kwa kile upokeacho?[NDIO]
=Wewe ni mzima na unaisoma post hii? [NDIO]
=Una afya njema na unaweza kusoma vyema hii post? [NDIO]
Ni kweli, huna kila kitu ila una bahati kuliko watu wengi.....
Sasa hebu niambie ni kipi kitakachokuzuia kumshukuru "YULE ANAYEFANYA MAMBO YOTE HAYO KUWEZEKANA KWAKO?"
HAJAWAHI KULALA AU KUSINZIA NA KUKUACHA PEKE YAKO DAIMA YUKO KWA AJILI YAKO.
 
Truly great thinker MziziMkavu
Hatuwezi kuona thamani ya kile tulichonacho mpaka tukikose
 
Truly great thinker MziziMkavu
Hatuwezi kuona thamani ya kile tulichonacho mpaka tukikose
Ni kweli uyasemayo hasifiwi binadamu mpaka atakapo kufa ndipo watu wanamsifia marehemu alikuwa mtu mzuri anawasaidia watu ........ atakapo kufa binadamu ndipo watu wengine wanajuwa umhimu wake marehemu .......... Sisi Miafrika bwana ndivyo tulivyo tu.
 
Ujumbe maridadi kabisa. Vyovyote vile, changamoto tunazo kibao, ila tumshukuru Mungu kwa mahali tulipo sasa, sababu kuna wengine wana tu-admire sababu wanashindwa kupanda ngazi kwa sababu moja au nyingine! Eh Mungu, tusaidie na wasaidie wao pia.
 
Mkuu asante sana kwa kutukumbusha tulichukulialo kirahisi sana (we take it for granted); MAISHA yetu aliyotujalia Mwenyezi MUNGU!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom