Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mkuu Horseshoe Arch Mwananmke huwa hapigwi unamwambia kwa mdomo asipo kusikiliza muache tafute ambaye atakusikiliza mkuu. Ukiwa unampiga atakuwa anafanya makosa na anajuwa wewe utampiga yatakwisha tu lakini ukimuonya akiwa na akili atajirekebisha asipojirekebisha una haki utengane nae. Ulaya ukimpiga mkeo unafungwa jela.Leo ngoja nitofautiane nawewe mkuu,in life time ukichapa kofi walau once heshima itakuwepo miaka yote mtakayojaaliwa!
Ehhh kabisaaa mkuu kipigo hakifundishi kinaleta uwoga tu...Umenena ndugu yangu ulaya hakuna masikhara mtoto 1st priority,then anafata mwanamke,kisha mbwa wa mwishooo ndo mwanaume..Kisha umpige thubutu yako....Mkuu Horseshoe Arch Mwananmke huwa hapigwi unamwambia kwa mdomo asipo kusikiliza muache tafute ambaye atakusikiliza mkuu. Ukiwa unampiga atakuwa anafanya makosa na anajuwa wewe utampiga yatakwisha tu lakini ukimuonya akiwa na akili atajirekebisha asipojirekebisha una haki utengane nae. Ulaya ukimpiga mkeo unafungwa jela.
Leo ngoja nitofautiane nawewe mkuu,in life time ukichapa kofi walau once heshima itakuwepo miaka yote mtakayojaaliwa!