Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Laini mwisho wa siku ujumbe utakuwa umefika!True mzizi waweza sema neno baya mwishowe ukaishia kujuta
Ujumbe wako ni mzuri,ingawa unatiwa watu woga washindwe kudai haki zao!
Ulimi kiungo kidogo lakini matatizo yake Makubwa sana.