Ujumbe wangu leo.

Asante saaaaaaaaaaaaaaana.... Ubarikiwe kwa ujumbe murua kabisa..

Hivi Ujumbe unasemaje vile?
 
Asante saaaaaaaaaaaaaaana.... Ubarikiwe kwa ujumbe murua kabisa..

Hivi Ujumbe unasemaje vile?

ujumbe unasema tupendane, tushikiriane, tusiangushanage, nadhani alimanisha hvyo
 
Asante saaaaaaaaaaaaaaana.... Ubarikiwe kwa ujumbe murua kabisa..

Hivi Ujumbe unasemaje vile?

Ujumbe unasema Bluetooth ya meno ukiidalyut katika mechanism ya lactogen yenye biology kiasi ukapunguza chemistry gram 5 inaleta haemoglobin na eclipse of the moon na contuar za oesophagus unaongeza book-keeping za metropolitan unapata dialogue na subsidiary zake ambazo uki' mines metabolism na panadol za nitrogen kutoka force of gravity ya water unapata pancrease na elephant za kichwa.
Si ndiyo ?
 

:A S confused:
Hiki ni kijapani chenye kiswahili ndani yake?
Mbona sijaambulia kitu?
 
:A S confused:
Hiki ni kijapani chenye kiswahili ndani yake?
Mbona sijaambulia kitu?
Na ukiambua hapo zawadi ntakayokupa kama hujapata couple nakubariki kijibinti changu cha 15 yrs, kimekataa kusoma kiko tu hom na kwakua kapo mang'anyu yaani mukidde kisawasawa nachelea mafisadi wasini'tym! Atakaepiga hodi namshikisha .
 
Me nlivyoelewa ametutakia weekend njema na kuwa tuwe watulivu
 
asante mwaya nina imani ulikua mzuri sana ubarikiwe sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…