ndio beb for the first timeKwa hiyo tunabishana
Labda hajazaliwautampata kua mstahmilivu
Madame S kweli kila penye wabaya na wazuri wapo but shida moja kubwa mliyonayo Dada zangu wa kitanzania ni kuwa kamwe hampendi wanaume wakweli yaani mnapenda wanaume waongowaongo but mtu akiwa mkweli lazima aende na maji au atoke kapa.Inawezekana hata wewe ulifake ile siku unamuona au kumtamkia maneno yako, na mtu aakuchukulia hivo
Halaf ujue palipo na wabaya wazuri hawakoseni tatizo mmeshakremisha hiyo kama formula ya maisha
me nakuchora tu mkuu na kisura chako cha mapenzi 😀😀😀Sasa si ukioshe tu na maji bombani[emoji23][emoji23]
Halafu uendelee kukila kitumbua chako
Aiseee! Haya maisha banaAsilimia zote, sababu huko alikokimbilia hakuko kama huku alikotoka, na hivo hamna sababu na yeye anakua anakukumbuka siku moja moja bas hakuna namna tu lakini ukiwa kimya na yeye unamuumiza mana ataanza jiuliza kama ulikua wampenda kweli au la sababu humsumbukii
Ex maana yake ni
-Thank you for Experience
-Your Time has Expired
-Now Exit in my life.
Mie nina marafiki wengi. Siunajua kuna mtu mnaachana sababu mmetofautiana Interests?? Sasa siri ya Mapenzi inaweza kua
Watu wanaoachana kiukwel ukweli niwale waloachana kwa sababu moja tu inayoangukia ktk suala la Tendo la ndoa yaan Sex au Manyanyaso makubwa yalomuumiza mmoja wenu .
Lkn mengine yalobaki huwa ni km mchezo wa mshale na Maamuzi magumu.
HATA IVO, NASHAURI WATU KUENDELEA NA MAHUSIANO YAO WALIYONAYO, MAMBO YA KUKUMBUSHIA SIO INSHU ni matumizi mabaya ya Miili.
double ipo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ok basi usiendeMimi sitaki kubishana na wewe bae
ndivo, sometimes uwe kama mwanaume, s wanasema wanaume mmeumbiwa mateso?? Ukue mgum usilie lie jikaze ukitaka kulia unalia chumbani kwako peke yako tena lia unavyiweza hakikisha ukitoka hapo hulii tena, inaruhusiwa.Aiseee! Haya maisha bana
Hamna double ila madame anaruhusiwa kuja na maharimu wake tudouble ipo??
Haha, Pole saana mkuu. Lile kokoro la leo ulilisuka poa saana, wajinga wachache wamelichana... Maana nilitembea naloMadame S kweli kila penye wabaya na wazuri wapo but shida moja kubwa mliyonayo Dada zangu wa kitanzania ni kuwa kamwe hampendi wanaume wakweli yaani mnapenda wanaume waongowaongo but mtu akiwa mkweli lazima aende na maji au atoke kapa.
Nina experience moja ya binti flani niliyewahi kuwa na uhusiano naye ambaye alikuwa na asili ya kiarabu ofcourse nilimpenda na nilitaka kumuoa for sure but b4 ya mie alikuwa na mtu flani ambaye alifariki kwa kupigwa risasi na majambazi basi mi ndo nikachukua nafasi.
Ila ktk mahusiano hayo nilikereka mpaka nikaacha gari iende nisubiri nyingine maana kila nilipofanya tofauti na matarajio yake hakuisha kumtaja huyo marehemu,Utasikia dah angekuwepo Fulani... asingenifanyia hv.
Assume mi nipo na pirika za maisha kumbe chuoni wapo kwenye Test hajakwambia ila usipompa pole basi nongwa mpaka namuuliza mm ni mfalme Njozi wa kuota kuwa mna test chuo???
Nilipochoka nilimwambia mama Songa tu ngoja mm nisubiri gari nyingine nahisi nimekosea ruti.
Hahaa, nmekusoma madamndivo, sometimes uwe kama mwanaume, s wanasema wanaume mmeumbiwa mateso?? Ukue mgum usilie lie jikaze ukitaka kulia unalia chumbani kwako peke yako tena lia unavyiweza hakikisha ukitoka hapo hulii tena, inaruhusiwa.
Madame S kweli kila penye wabaya na wazuri wapo but shida moja kubwa mliyonayo Dada zangu wa kitanzania ni kuwa kamwe hampendi wanaume wakweli yaani mnapenda wanaume waongowaongo but mtu akiwa mkweli lazima aende na maji au atoke kapa.