Ujumbe wangu kwa wapendanao...

waambie mzizi wamezidi kucheat
Mimi binafsi yangu kumuongopea mwanamke eti anipende huwa sipendi, ila huko kwetu Mwanamke ukimwambia ukweli hawezi kukupenda mpaka umuongopee. Huku Ughaibuni wanawake weupe hawapendi kuongopewa akikujuwa kuwa wewe ni muongo anakuacha mara moja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…