Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mimi binafsi yangu kumuongopea mwanamke eti anipende huwa sipendi, ila huko kwetu Mwanamke ukimwambia ukweli hawezi kukupenda mpaka umuongopee. Huku Ughaibuni wanawake weupe hawapendi kuongopewa akikujuwa kuwa wewe ni muongo anakuacha mara moja.waambie mzizi wamezidi kucheat
A woman to............
hahahahahahah!!!!...........to teach