Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi
Ghafla tunakaribia uchaguzi wako ambao wanaona samia anaenda kushinda kwa hiyo wanahaha na kuanza kutupia lawama watanzania, baadhi ya watu waliotabiria kuwa watakuwa ma-Rais kama gwajima inshort wanahaha
Kuna Jambo moja ambalo hawajui na liko kwenye maandiko
Mungu alimkataa Saul na akamwambia samwel nimepata mfalme nenda kwenye nyumba ya Yese samweli alienda japokuwa halikuwa zoezi rahis alifanikiwa kumpaka mafuta daudi
Cha ajabu daud alikuwa tayari ni mfalme ila sauli aliendelea kutawala kwa mda miaka 12 mingine akifariki watu wakajua tena ni wakati wa daudi akachagulia isithobet mtoto wa Saul akatawala miaka 7 mingine ndo daud akaja kuwa mfalme piga hesabu hapo ni jumla miaka 18
Swali la kujiuliza daud kasubiria miaka 18 ndo kawa Rais it sound awkward umeona njia za Mungu zilivyo za ajabu
Ndo maana kwenye ukristo Mungu akikupa ahadi ni jambo lingine na kutokea ni jambo lingine ndo maana sisi tunasema subira ni ibada hata Ibrahim kaahidiwa mtoto akiwa na miaka 75 kaja kampata akiwa na miaka 25 baadae
Hata mimi Mungu alishaniambia ameikataa ccm ila hajaniambia ni lini wanaondoka madarakani hilo ni fumbo kwetu sisi watanzania wote
Kuna mambo manabii wanatakiwa wayajue na hata wewe msomaji unatakiwa uyajue
Mwaka 2020 magufuli alishinda in brutal way, wapinzani wakawa wanakimbia nchi, bungeni wabunge wanaimba aongozewe mda ila hakufika April mengine yakawa ni historia
JAMBO ANAYEKUTESA AU KUKUFANYIA HARRASMENT NAYEYE HAJUI KESHO YAKE
Manabii msiweweseke Mungu sio muongo ila atajibu kwa namna anavyojua yeye anaweza waondoa ccm mwaka 2040 huko au 2033 hakuna anayejua exactly ni lini atawaondoa na kwa njia gani
SUBIRA NI IBADA

- Mungu hashei utukufu na mwanadamu hata kama anaongea na wewe direct manabii wengi wanatamani mambo yatokee kama walivyotabiri ili waje waseme nilisema sasa kwa Mungu mambo hayaendi hivyo
- Kwa Mungu watu wote ni sawa hakuna ambaye ni muhimu kuliko wengine
- Standard za Mungu hakuna anayezijua ni fumbo kwetu
- Mipango ya Mungu ni ya mda mrefu mfano hakuna mtu anaplan ya 2200 ila Mungu anayo au mwaka 3000 ila Mungu anayo sisi tunamatamanio ya mda mfupi ila Mungu anayo ya mda mrefu
- Mungu hajafungwa na sheria ya dhambi kama tulivyo wanadamu
- Mungu akitaka kukunyaua atatutumia namna anayoijua yeye usitumie nguvu zako binafsi kujinyanyua
- Mungu haarakishwi au kufosiwa tujifunze kuwa wanyenyekevu kwake
- Mungu hana jibu la moja kwa moja
- Kwenye kila jambo ambalo umeomba at first lazima ufeli vibaya mno hii ni kwa sababu lazima ushushwe chini ili Mungu ajitwalie utukufu, baada ya yeye kujitwalia utukufu kwa kiwango alichokusudia, atakukumbuka na atakunyanyua na kukupa lile uliloomba
- Wakati umefeli kwenye kile ulichoomba kwa Mungu usitafute plan b stick na plan A