Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
Mkulu mgonjwa!? Yap, tunahitaji experience. Ya mkulu kurudi alikotoka akiwa madarakani. Hatuna hiyo experience kama taifa 47 years young.
Leo hii hatutaki kuongelea mambo yaliopita kwa kujwa mimi ninaamini kuwa historia ndio itakuja kusema ukweli juu ya tukio zima la lowasa na jinsi ambavyo ninaamini kuwa hakutendewa haki........
kimsingi anachojaribu kusema Mwkjj ni kuwa Lowasa anaendeleza mkakati fulani na hapo hapo yuko kimya,huu ni wazi kuwa ni uzushi kabisa na inawezekana kuwa wewe ni kati ya wale wanaoogopa vivuli vyao wenyewe,Hamjiamini na ukimya wa Lowasa ametulia na sasa mnamtafuta ili aongee,Lowasa hawezi kuongea kwa kuwa mwanakijiji kasema na kamwe mwkk hana moral authority ya kumchagulia lowasa marafiki....mwacheni Lowasa afanye kazi zzake za jimbo,mwacheni awahudumie wale waliomchagua kwa hiari yao wana wa monduli,mnachojaribu kufanya hapa ni kutafuta namna ya kuficha mapungufu yenu,tangu ametoka mambo mengi yamesimama na Pinda kashindwa kuvaa viatu vya Lowassa.ni aibu kwa wote mlioshangilia mzee wa Mipasho Mwakiembe akibwabwaja hovyo,ni aibu kwa wazandiki wote wa tanzania na ni aibu kwa serikali nzima ya jk inayoshindwa kusimamia na kutimiza malengo waliowaahidi watanzania.
hakujitendea haki, to be precise.
of course.. nani mwingine mwenye moral authority ya kumtetea passionately EL, but you? It is all good though.
Kaka ujaribu kupotosha umma kuwa Edward aliamua kunyamaza na kutojitetea,ni kweli alifanya vile kwa heshima kubwa na upendo kwa rais wake na nchi yake...kama angeamua kupambana ni wazi hakuna mtu angeweza kumtoa ..lakini ni makjosa makubwa sana kuwaza kuwa aliamua tu kunyamaza kwa kuwa alikuwa ni dhaifu kama unavyojidanganyaukweli ni kuwa aliamua kunyamaza kulinda heshima ya serikali ya rais wake anaempenda sana JK.....however kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo vema unajua baada ya kasuku Mwakiembe kuongea ilifuata kamati ya uongozi ya bunge ambayo pamoja na mambo mengine ilijadiri kwa kina alioongea Mwakiembe,na kamati ile kwa nguvu ya ajabu iliatupilia mabali hoja dhaifu za Mwakiembe dhidi ya waziri mkuu na wakateuliwa watu wawili kwenda kwa JK ambao ni ally ameir na Embe Bivu.Embe Bivu akasema kuwa pamoja na kuwa kamati ya uongozi ya bunge kuona Lowasa hana hatia likini tayari amechafuliwa sana kwenye taswira ya wananchi...kutokea hapo Lowasa nae alikuwa na mapendekezo yake ambayo hatimae yakapelekea uamuzi wake wa kujiuzuru...najua yote hayo unayajua lila n ia ni kupotosha ukweli hapa na sao vinginevyo...
yes why not??????????????????????????????????Mkuu!!
You really have the guts?????????????????????????
.....'dKnoW't-iMean???...hii lazima 'watamjibu' tu!Some threads are flippin' scary!!
mkjj heshima..UJUMBE WA WAZI KWA MHE. EDWARD LOWASSA: "Uchaguzi ni wako"
Na. M. M. Mwanakijiji
Endapo aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Edward Lowassa (CCM-Monduli) ataendelea na mwelekeo wake wa sasa wa kisiasa na mahusiano yake ya sasa ya kimkakati basi njozi zake za kuja kushiriki tena katika uongozi wa juu wa taifa letu zitakuwa zimefikia ukingoni bila kupiga kelele ya breki. Na endapo nitakachoandika hapa hatakipa uzito wake unaostahili naomba niwe wa kwanza kutanguliza habari mbaya kwake na wale wanaomuunga mkono kuwa atashindwa. He will lose.
Ninaandika kwa sababu kubwa tatu; kwanza ni kwa sababu ninaamini anapoteza muda kwa kuendelea na machungu ya matukio ya mwaka jana; pili, anapoteza kipaji chake cha uongozi kwa kukaa pembeni ya mijadala ya kitaifa na hivyo kuonekana yuko upande kinyume na maslahi ya taifa na tatu, ni kwa sababu naamini hakuna mtu mwingine anayeweza kumuambia kile nitakachomuambia hapa kwa heshima na taadhima kubwa. Wengine aidha wanamuonea soni, wanamuogopa au kwa namna fulani wanagwaya mbele yake.
Inaendelea katika attachment...
Nimeonelea nijitafsiri mwenyewe maana watu wengine wanatafsiri zaidi ya kile nilichosema.
a. Lowassa anawajibika kwa kujiuzulu kwake Uwaziri Mkuu. Hana wa kumlaumu.
b. Amechagua upande usio sahihi baada ya kuachia ngazi.
c. Hawezi kurudi kwenye uongozi wa kitaifa na hivyo ni bora aendelee kukaa upande huo mwingine. It is too costly.
Duuh, mi naona hii njia haitatusaidia sana mana tuna mahakama na magereza. Itatuletea tatizo lingine ikizingatiwa tupo Africa ambako kila kitu kinawezekana.Tukipat mtu mpika mizengwe itakuwaje? Si atawatuhumu na kuwaua watu wote wanaoenda kinyume naye?As far as I am concerned.EL na RA bado nafikiri ushauri wa Mzee Ndesamburo wakati akichangia mjadala wa Richmond pale bungeni ulikuwa ushauri makini, na best solution nao sio mwingine bali wa kuwanyonga hadharani that was that, ingekuwa far east Asia EL angejiwajibisha kwa kujinyonga lakini kwa sababu pengine ni mkristo serikali ingechukua ushauri wa mzee na kumsaidia kuwanyoga hivi sijui hii huruma unayomwonea ni ya nini?
Eeeh,Kind words can be short and easy to speak, but their echoes are truly endless.Hivi tunasubiri nini sisi Watanzania kuongozwa na Serikali mbovu ya aina hii iliopo Madarakani? hivi hili JESHI limelala kiasi hiki Linashindwa Kuchukuwa Madarakaaaaaaa.
NImeandika kwenye mada ya kwanza juu ya kujitafsiri kwa mistari mitatu.