Ujumbe wa Twaha Mwaipaya, Mratibu wa Uhamasishaji BAVICHA Taifa baada ya kutoka gerezani

Wajinga ndio waliwao. Wenzako wameapa we umetoka gerezani! Nenda kalee familia yako mkuu.
Na wenzie wengine wapo Ubelgiji wanakula bata na watoto wao..hawajui hata ye watoto wake walikuwa wanakula nini kipindi yupo ndani..
 
Acha ujasiri wa kijinga ww eti upite katikati ya risasi hahahahahahaaa utakufa kweli na tunakusahau sekunde tu tena kufa kipindi cha maisha ya mwendo kasi kama sasa tena ndio hata sekunde huchukui tushaku sahau
 
Wewe Bavicha, usidanganye umma kwamba umekwa na ukapikika hadi unanukuu maneno ya mtume Paulo kwenye mchezo wa kisiasa ambao unavuma kwa kulingana na upepo wa mahitaji tofauti na neno la Mungu lisilobadilika jana, leo na hata milele.

Watua wa aina yako walijinadi kwa maneno hayo na kuwatia hamasa vijana wengi kama ninyi kuwa tayari kuangamiza maisha kwa vitu vinavyofisha.

Mshumaa umeshazima huwezi kuona mbele jitafakari na urejeree kauli hiyo mfu-waTanzania hawahitaji harakati wanahitaji viongozi kufikia malengo ya maendeleo binafsi na jamii kwa ujumla sio blah blah zinazopandisha mori zenye hila, chuki na inda.

Kijana umepotea na hauwezi kufanikiwa hata iweje kwa mtindo huo

Waombe radhi wananchi kwa kauli zisizofaa kama hizi otherwise teh chapter in your favour is locked and sealed by non-compromised mechanism.

Pole kwa kutumia ujana wako vibaya kwa manufaa ya kitu kingine kisicholeta nafuu ya maisha yako na familia yenu. Eti mapambano ndio yataongezeka kwamba hauogopi kupika katikati ya risasi-This is obtuse mindset.
 
Safi TAIFA lahitaji watu wanaohamini nini wanakiami, kufa ,kufungiwa kwa kile mtu unakiamini ni utukufu mkubwa kuliko kufa malaria, sio Mimi nasema niliambiwa miaka kumi na tano iliyopita,na nimeyahishi maisha haya,kwangu pesa,cheo ,nk sio chochote zahidi kile Imani yangu imenituma nifanye Basi no one can change me only God, sihitaji cheo, sihitaji mapesa mengi,kubwa kwangu ni Raha na Imani ya moyo wangu,
 
Pole sana na karibu sana kitaa,kimsingi kupigania haki na utu wako ni kujitoa muhanga kufa kwa mateso,moyo ukiwa tayari kwa hili hata peke yako unasimama
 
Lakini elewa Halima Mdee ni mbunge wa viti maalum ambae hakupigiwa kura. Bila shaka kwa chadema hiyo ndiyo haki mnayoipigania kila uchao.
 
Haka ka jinga bado kana wenge la gerezani ndio maana kanabwabwaja kama kamekunywa mataputapu asubuhi, kametoka lakini hakajui kama mwenye chama kaamua kuwasaliti
 
Back
Top Bottom