dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,085
- 57,409
Kwa case hii kwa mfano, unataka mkosaji ajirudije?Kuoa/kuolewa mume au mke wa pili ni kosa, na kiimani kosa linarekebishwa na mkosaji kwa kujirudi, bila hivyo kosa linabaki..
Unapokwenda kumfariji mtu, unamfariji kwa kufiwa na nani? Baba, mama, mjomba au nani..?