Bado ninaamini Profesa kwamba unaweza kabisa kugeuza msimamo wako na kurudi kwenye ukweli, kwa sababu malezi ya kikristo yaliyokufikisha hapo, msingi wake ni kweli sio hila..kwa sasa ni km kazi pekee uliyo nayo ni kushughulika na samia scholarship tu..mambo mengine yoote ndani ya wizara yako umeyapa kisogo, hata km unalipwa extra kwa hivi unavyofanya..nakupa ujumbe binafsi ili usije sema hukujua..
Samia scholarship motive yake ni hila ya watu wahalifu kuwagawa watanzania dhidi ya mabaya waliyowatendea, kwamba wakati wengine wakidai wahalifu hawa kutubu kwa waliyofanya, wanataka wawepo wengine wanaoamini kwamba hawa ni watu wazuri tu kwa sababu ya wema bandia wanaofanyiwa kupitia watoto wao..! mabaya huwa hayafutwi kwa hila za namna hii..gharama ya kusafisha ubaya ni kukiri kosa na Kutubu..! finish..
Wewe unajua Profesa, usomi mzuri kwa fani zote ni ule ambao kijana anafanya first degree kwenye vyuo vya ndani, then second degree inakuwa bora km atapata kwa vyuo vya nje, combination ya hivyo ndio ina tija kwa taifa na kwa kijana mwenyewe! sasa wewe unatekeleza jambo linalofanya kinyume cha vile imekuwa toka zamani..hawa watoto mnaowapeleka kusoma first degree kwa vyuo vya nje bado hawajui wajibu wao binafsi kwa taifa na wao wenyewe, elimu ya kidato cha 6 kwa sasa haimuondolei kijana ujinga..mfano, wengi hata usafi wa mwili wake mwenyewe ni tatizo, bado anahitaji sana kulelewa nyumbani, apate life discpline ambayo wengi hawana.
Km umeafiki kuwa sehemu ya ghiliba na hila za kutaka kuficha uovu..endelea! lkn sehemu inayotaka uweke mkazo kwenye uwaziri wako ni kwenye elimu ya msingi, sekondari na vyuo vya kati..na si huko unakofanya sasa!