Ujumbe wa Oktoba Mosi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,074
Reaction score
831,697
Maji yakapunguka-punguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.

Neema ya Mungu ikufunike mwezi huu. Kila penye changamoto ukaone vilele vya vilima. Ukapokee nguvu mpya, ukapokee tumaini jipya, ukapate kibali mbele za Mungu na wanadamu.

Happy New month.
 
"Amina"
Mungu ailinde nchi yetu na awaumbue vibaraka wa mabeberu wenye kutamani kuvuruga nchi yetu.
 
Wandugu si kila kitu ni siasa ..hebu tujaribu kutofautisha majukwaa tafadhali
Kwenye hizo quote ulizoweka kuna Comment ya siasa hapo!?
Comment zote ni za kusaport maombi na dua zako mtumishi.
 
Amen to that.... Happy new month to you too Mshana Jr and be blessed!
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…