Sidhani kama Mr Kirati yuko sahihi, kwa sababu mwenye uwezo wa kuliondoa tatizo husika si mtawala bali raia. Unless kama alimaanisha hao ^washangaao^ ni raia wa JMT.
Unaposema positive itakuwa unamaanisha za kusifia? Kama ni hizo hiyo si kazi yake, inatakiwa ifanywe na serikali yenyewe kwani serikali ina vitengo vingi vya PR