Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Kikao cha bunge cha mwezi Februari 2011 kimedhihirishia Watanzania kwamba spika Anna Makinda na wabunge wake wa sisiemu wana dhamira ya kukandamiza kwa lengo la kuua nguvu bungeni ya upinzani wa kweli nchini. Hii inatokana na mambo makubwa mawili yaliyojitokeaza zaidi:-
1) Kunyamazisha kwa hasira watoa hoja wa CDM hata kwa masuala ya maslahi kwa taifa-ama kuapuuza na kuendelea kama vile hawa hawalindwi na kanuni za bunge!!!!!!!!!!!!!
2) Kutumuia ubabe kupora haki za kikatiba za CDM katika nafasi za uongozi wa kamati za bunge kwa kupindisha kanuni za bunge na kuendesha kwa chuki kura za kubadili kanuni ili kudhibiti CDM kama serikali kivuli bungeni; ikizingatiwa kwamba kwa mara ya kwanza katika historia ya bunge la Tanzania kuwa na serekali rasmi kivuli ya chama kimoja bungeni!!!!!!!!!!!!
Ujumbe ulio wazi kutokana na maandamano ya Mwanza ni kwamba spika Makinda asiposoma alama za nyakati za siasa ulimwenguni atawapeleka wananchi kuwataka CDM wakusanye takwimu za unyanyasaji dhidi ya upinzani bungeni ili ziwemo kwenye agenda za maandamano makubwa yanayokuja!!!!!!!!!!! Inaonekana wazi kwamba sisiemu na serikali yake na spika wao wameamua hata kutumia hata uongo kwa masuala nyeti kwa maslahi ya taifa, km Pinda kudanganya watanzania waziwazi kwa suala la Arusha, wakati mashuhuda wa suala hili ni watanzania wa Arusha; spika Makinda kumzima kibabe mbunge wa CDM aliyeomba mwongozo wa spika kuhusu mabomu ya Gongo la Mboto kwa madai kwamba maafa hayo siyo priority, lakini kimsingi, simply kwa kuwa ni mbunge wa CDM; halafu ghafla Pinda akainuka ghafla kutoa hotuba ya kufunga bunge hadi 5.4.2011-ikumbukwe kwamba siku mbili za mwisho bunge halikukaa na hivyo mambo muhimu kama malipo ya nk Dowans hayakujadiliwa>>>>>>>>>>>>>>>
Kwa dalili hizi kama spika Makinda ataendelea na mtindo huu, wananchi tutalazimika kuitaka CDM ilete tatizo la spika na Pinda kwa wananchi kushughulikiwa kwa njia ya peoples pawa, ambayo imeonyesha mafanikio makubwa Tunisia, Misri na sasa Libya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!