Ujumbe wa leo

Ujumbe wa leo

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
attachment.php
 
Maama mama mama,uwezo wa kukulipa sina,namuomba Mungu akupe baraka,mama,mama yangu eheee!

Asante mkuu utafiti
 
Last edited by a moderator:
Aaahhh achana na Habari ya Mama kabisa! Ni mziki mwingine kabisaaaaa! Mama hafananishwi na kitu chochote kabisa. Nakupenda Mama yangu. Happy Mothers day

Ni kweli kabisa
 
Mama kwa kweli hakuna mfanowe
Mungu akupe maisha marefu mama yangu na akubariki kila siku
Umefanya mema sana kwa maisha yangu na nakupenda sana mama utafiti asante sana sungura1980 upo mkuu umepotea kama sungura
 
Last edited by a moderator:
Dah!!! Ni kweli mkuu but kwng sinae kitaaaambo nko na bibi tu na ndo mpango mzima...
 
Mama yangu, Wewe ni nguzo maishani Mwangu
Taa imulikayo mbele yangu, Daima milele
Wewe ni Mama yangu.
I LOVE YOU MUMMY..... THANK YOU FOR EVERYTHING.

Asante banana zoro
 
Mama kwa kweli hakuna mfanowe
Mungu akupe maisha marefu mama yangu na akubariki kila siku
Umefanya mema sana kwa maisha yangu na nakupenda sana mama utafiti asante sana sungura1980 upo mkuu umepotea kama sungura

Nipo mkuu Mr Rocky,,.Kwa sisi wakristo kuhusu wazazi,Mungu ameweka amri pekee yenye ahadi,,"Kwamba waheshimu baba na mama,upate miaka mingi na heri duniani"!
 
Last edited by a moderator:
Mama ndo kila kitu kwenye maisha yangu...nothing to compare with her..God Bless my Mother..!!RIP my Dad..!!
 
Back
Top Bottom