Ujumbe wa leo

Ujumbe wa leo

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Una Boyfriend,Unampenda ile
mbaya,anajua unampenda na
hufurukuti,anakusumbua
kwelikweli,wewe na kisima cha
machozi ni Mutual Friends,kwa
mwaka unalia mara nyingi kuliko Kikundi cha
Waombolezaji wa
Kinyakyusa...Imefikia muda
unahisi Moyo wako umepigwa
Ganzi,ukasema Enough is
Enough...Ukaamua kumpa Moyo Mwanaume fulani,akaupokea
ule moyo kama
umetengenezwa na kioo,kwa
heshima zote,na anautendea
haki...Yule Kinabo aliyekutesa
kwa miaka mingi ndio anashtuka,anajirudisha rudisha
na kujiweka weka karibu
kutafuta Bluetooth Network
kwako,wakati wewe umepata
Love of your Life....Usivyo na
akili,kisa amekuja kwako analia unahisi fisi kageuka beberu,eti
unamwonea
huruma...Mwanaume kulia
machozi feki ni rahisi kuliko
Mbuzi kutembea huku
anamwaga kinyesi cha Karanga...Huruma yako
itakuponza,utampoteza Mpenzi
wa Ukweli na kurudi kwa
janaume feki na mwishoo....


SIKU NJEMA
 
Asante kwa ujumbe wako na umefika afu umenigusa sana coz wanawake ni wepesi sana wa kurudisha mioyo yao nyuma hasa wakiona dume limetoa machozi wanasahau kuwa jasiri haachi asili.Na pi kuna ule msemo usemao ''A MAN CAN PROMISE A MILLION OF THINGS TO GET WHAT HE WANTS''wanawake chondechonde.
 
Una Boyfriend,Unampenda ile
mbaya,anajua unampenda na
hufurukuti,anakusumbua
kwelikweli,wewe na kisima cha
machozi ni Mutual Friends,kwa
mwaka unalia mara nyingi kuliko Kikundi cha
Waombolezaji wa
Kinyakyusa...Imefikia muda
unahisi Moyo wako umepigwa
Ganzi,ukasema Enough is
Enough...Ukaamua kumpa Moyo Mwanaume fulani,akaupokea
ule moyo kama
umetengenezwa na kioo,kwa
heshima zote,na anautendea
haki...Yule Kinabo aliyekutesa
kwa miaka mingi ndio anashtuka,anajirudisha rudisha
na kujiweka weka karibu
kutafuta Bluetooth Network
kwako,wakati wewe umepata
Love of your Life....Usivyo na
akili,kisa amekuja kwako analia unahisi fisi kageuka beberu,eti
unamwonea
huruma...Mwanaume kulia
machozi feki ni rahisi kuliko
Mbuzi kutembea huku
anamwaga kinyesi cha Karanga...Huruma yako
itakuponza,utampoteza Mpenzi
wa Ukweli na kurudi kwa
janaume feki na mwishoo....


SIKU NJEMA

Nisamehe mpenzi sikujua thamani yako before.....;Samehe saba mala sabini kwa siku I love you Mwaaaaaaaaaaaa
 
Huu ujumbe hauwezi kuja hivhivi bila sababu. But tumepata funzo wote.
 
Back
Top Bottom