Miss Pirate
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 305
- 75
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.