Hii ni hadithi ya kutunga kwani kwa hali ya kawaida haiingii akilini kwa muda wa miaka takribani mitatu 2009 hadi 2012 utembee na wanaume 1500. kimahesabu tu ikiwa kwa siku moja unatembea na mmoja kwa miaka mitatu utatembea na wanaume 1095, kumbuka hapo tumejuisha siku zote ambazo pia anakua hedhi.
haiingii akilini wanaume wote uliotembea nao wote hawakutumia kinga. pia sio kila unayefanya naye mapenzi atapata ukimwi eti kwa kuwa wewe una ukimwi.
loh huyu jane ni yupi?
inaitwa KOMOASabuni gani nzuri mkuu? tumegeane kiaina. :-*
...dear hiv !!?? aaah mkuu hapo huchomoki,unauita ukimwi dia ...?Dear HIV,just stay away from me