Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kupata dhamana

Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kupata dhamana

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,198
Reaction score
162,733
Kaandika hivi kupitia mtandao wa X:

"Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri.

Mateso kwa ajili ya haki ni Faraja kubwa sana ya moyo. Hata wanaofikiri sisi ni maadui zao wanapaswa kujua kuwa sisi ni marafiki zao na jitihada zetu ni kwa ajili ya watoto na wajukuu zao pia. Tuko nje kwa dhamana."

lema.png
 
"Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri''
 
Kaandika hivi kupitia mtandao wa X:

"Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri.

Mateso kwa ajili ya haki ni Faraja kubwa sana ya moyo. Hata wanaofikiri sisi ni maadui zao wanapaswa kujua kuwa sisi ni marafiki zao na jitihada zetu ni kwa ajili ya watoto na wajukuu zao pia. Tuko nje kwa dhamana."

"When a crime go unpunished the world world remain unbalanced" -Oishi 47 Ronin.
 
Ndio aache sasa kujiliza akomae, maridhiano bila uwajibikaji hatutaki..!!
 
Hizo busara angetumia kuwaelekeza Nyumbu wasiibe na kuharibu mali za watu na wasitembee na marungu mtaani ili kisiwakute kilichowakuta.

Ila akawaacha nyumbu waende kuwa chakula cha mamba na wakaliwa kweli
 
Back
Top Bottom