Ujumbe wa Dr. Chris Mauki

duh,mi sipendi kumnunulia demu zawadi wala sitaki surprise yeyote.nataka plan/great ideas.
 
Vizawadi na surprise kwa michepuko inawezekana. Lakini kwa mkeo inakuwa ngumu.
 
Hivi ni msomi?
Mbona kuna mambo chanya ya kuandika kama mwana saikolojia bila kuonekana unamlenga mtu yeyote...
Ajaribu kusoma maandiko ya wenzie..
Mimi kuna rafiki yangu ana like kila anachoandika huyu jamaa...ananifanya nimfikirie ana like nini wakati ni mipasho...my conclusion ni kuwa atakuwa yuko kwenye frustrations (huyo shosti angu) maana ni aibu kwa mke wa mtu ku like baadhi ya vitu anavyoandika huyu jamaa.

Wewe mtu anaandika mwanaume hujui penda mkeo...afu una like na mmeo anaona...si kudhalilisha mmeo huko...shida sana
 
Mbona udakta hata wa kufungiwa kwenye maboksi na kupewa kama zawadi nao unatambulika vlvl………
 
Mapenzi ya maigizo haya ni upotoshaji tu.

Kama mwanamke siyo mtu wa kuridhika hutakaa umridhisha hata ukimnywesha damu yako yote.
Wengine hizo pumba za jamaa ndiyo hujifariji nazo kwa madhambi yao ya michepukoni huko
 
Hahaahar ndio kabisa wapo ili waliwe
 
swali no kwamba kama unaona mwanaume kukufanyia vitu vidogodogo ndo amekamilika bac mbona hamkimbilii kuolewa nao?mbona mtafute wenye hela zao bac kama nyinyi si ulafi tu na kutoridhika!mwenzako anahenya kwenye foleni na joto kali anatafuta kwa ajiri yako January mpaka Dec. ss hivo vidogo ndo vina kulisha!ndo vinakufanya upendeze?ndo vinakuweka mjini?Inahitaji moyo sana kuishi na hawa viumbe...
 
Mm wa kwangu aliniletea hizo kauli eti bila kufanya visapraizi vidogo ninafanya sawa na bure kabisa!nikamwambia ok mm siwezi kuanfaoka na vidogo kwa sabb viko ndani ya uwezo wako mm nahangaika na vikubwa ola siku nikikunasa na mchepuko kisa sikupi vidogo bac kuanzia siku hiyo ndo atakuwa mumeo muebdelee kupeana hivo vidogo
 
wee endelea kukataa, km unadhani mwanamke anatulia kwa vurugu zako za kitandani tu, utalizwa kila siku, tena basi vizawadi unavyovidharau huwa vinatekenya kweli
 
Kuna part nakubaliana na wewe.
Ufundi wa kitandani ni muhimu ila kama kwingine huwezi kubalnce kwakweli ni ngumu kuvumilia....wanaume wakituelewa mbona rahisi sana tatizo wamekariri
Mind is the first thing to be stimulated, mi hata kuwe na ufundi wa PHD kama mind haijawa stimulated sitafurahia chochote. Na hizo mind stimulators ni hayo yote anayoyaongea Dr Mauki.
sometimes vitu tunavyohitaji sio vikubwa kama ambavyo wanaume wanafikiri.
Lakini pia kila mwanaume amuelewe mwanamke wake alivyo, kuna wanaume wanajitahidi kuwaelewa wanawake zao kwa stori za wanawake wengine.
 
Criss mauki yuko right isitoshe ni mtu makini anayeelewa mahusiAno.ni counselor mzur sn.anatoa elimu nzuri ambayo naona kumtimizia mwanamke ni wajibu wako usikwepe.naona ishu ya kutoa sapraiz imekutachi sana mnunulilie bana mkeo visapraiz afurahi akifurahi ht mungu anawazidishia rizki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…