Ujumbe uliofichwa tangu mwanzo wa mwanadamu

Yaani Mimi nikuogope wewe ?😂😂😂

Wala hakuna makosa hapo, Tena nimewahi kulielezea humu

Wasomi wa theologia wanajua hili

Kila injili imeandikwa kwa namna yake

Mathayo aliwaandikia Wayahudi ,hivo hata ukoo wa Yesu anarejea nasaba ya Daudi

Tofaut na Luka ,

Mathayo aliandika Injili yake kwa hadhira ya Kiyahudi, akilenga kuthibitisha kwamba Yesu ni Mwana wa Daudi kisheria, kupitia Yosefu kama mrithi wa kisheria wa ukoo wa kifalme. Kwa Wayahudi, urithi na haki za kifamilia zilipitia kupitia kwa baba wa kisheria, hata kama hakuhusika katika kuzaliwa kwa damu.

Ndiyo maana Mathayo anaanza ukoo wake na Abrahamu na kupitia mstari wa kifalme wa Solomoni hadi Yosefu, akionyesha uhalali wa Yesu kama Masiha kwa mujibu wa unabii wa Kiyahudi.

Luka, kwa upande mwingine, aliandika kwa hadhira ya watu wa Mataifa (wasio Wayahudi), na lengo lake lilikuwa kuonyesha asili ya kibinadamu ya Yesu na uhusiano wake wa kweli na wanadamu wote. Ndiyo maana Luka anaonekana kutumia ukoo wa Mariamu, akimtaja Yosefu kama “mwana wa Heli” kwa sababu katika mila za Kiyahudi mwana wa kiume wa mke alihesabiwa kama mwana wa baba mkwe. Heli alikuwa baba wa Mariamu, hivyo Luka anafuata nasaba ya Yesu kwa damu kupitia Nathan, mwana mwingine wa Daudi, badala ya Solomoni.
Unahangaika na huto msaka bikra!
 
Mzee jitahidi kusoma vema acha kuokoteza mistari kama wazee wa uamsho agu kichwani zero

Afu hoja iko hapa UISLAM WAKO HUO HUO UNAJINASIBU UNAIAMINI INJILI hili unakubaliana nalo au nalo unakana???😆
Mkuu bibulia nimeisoma kukupita mara 100 sema tu tofauti yangu na wewe Mimi sio kondo anae pokea Kila kitu bila kuchambua
 
Kwa hiyo wewe unapingana na Alla wako alietambua vitabu vya injili ni mojawapo ya vitabu vitukufu vya Quran?
 
Unaamini mwamedi kukabwa na kiumbe kisichojulikana pangoni ambacho baadaye waraqah anabashiri kuwa huyo atakuwa Gibril na kumpa maneno ya mungu
Halafu unamwita mwenzio kondoo!
Unaamini utaenda kukaza bikra 72 peponi halafu unamwita mwenzio kondoo!
Inasikitisha sana!
 
Mkuu bibulia nimeisoma kukupita mara 100 sema tu tofauti yangu na wewe Mimi sio kondo anae pokea Kila kitu bila kuchambua
SWALI LA MSINGI

Uislamu unaiamini injili au la!!!

Ukijibu hata hutaona tena nawasilisha hoja

Afu kwa akili y kawaida yanayoendelea kwenye uislam na ukimuona muislam na akili zake anayafuata bula kuhoji ni aibu tupu,mtu anapotea huku anajiona ila hana jinsi
 
Kwa hiyo wewe unapingana na Alla wako alietambua vitabu vya injili ni mojawapo ya vitabu vitukufu vya Quran?
Huyo hana akili😆😆😆

Mudy wake mwenyewe aliwawekea injili wakat anaokoteza maandiko ila yeye anapinga
 
Sasa jibu yupi Iko sahihi, kwasabbu mtu hawezi kua na baba wa will jibu kibibulia sio hadeeth na hisia zako mkuu ushahidi wa maandiko ni muhimu sana.
NARUDIA Tena Biblia sio Quran ambayo Haina hata jina la mke wa Adam ,biblia ni Pana

Mathayo anaonyesha ukoo wa kisheria wa Yesu kupitia Yusufu mwana wa Yakobo, ili kuthibitisha haki yake ya kifalme na kutimiza unabii wa Wayahudi.

Mathayo 1:16 inasema
"Yakobo alimzaa Yosefu, mume wa Mariamu, ambaye alimzaa Yesu aitwaye Kristo."

Hapa, Yusufu anachukuliwa kama baba wa kisheria wa Yesu, ingawa si mzazi wake wa damu. Hii ni muhimu kwa Wayahudi kwa sababu urithi na haki za kifalme hupitia nasaba ya baba wa kisheria.,

Kwa upande mwingine, Luka anaonyesha ukoo wa damu wa Yesu kupitia Mariamu, akimtaja Yosefu kama mwana wa Heli, ambaye ni baba mkwe wa Yesu.

Luka 3:23 inasema

"Yesu alikuwa na umri wa kama miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alidhaniwa kuwa mwana wa Yosefu, mwana wa Heli."

Luka anafuata nasaba ya asili ya kibinadamu wa Yesu kupitia mama yake, ili kuonyesha uhusiano wake na wanadamu wote.
 
Aisee
Yaani Mimi nikuogope wewe ?😂😂😂

Wala hakuna makosa hapo, Tena nimewahi kulielezea humu

Wasomi wa theologia wanajua hili

Kila injili imeandikwa kwa namna yake

Mathayo aliwaandikia Wayahudi ,hivo hata ukoo wa Yesu anarejea nasaba ya Daudi

Tofaut na Luka ,

Mathayo aliandika Injili yake kwa hadhira ya Kiyahudi, akilenga kuthibitisha kwamba Yesu ni Mwana wa Daudi kisheria, kupitia Yosefu kama mrithi wa kisheria wa ukoo wa kifalme. Kwa Wayahudi, urithi na haki za kifamilia zilipitia kupitia kwa baba wa kisheria, hata kama hakuhusika katika kuzaliwa kwa damu.

Ndiyo maana Mathayo anaanza ukoo wake na Abrahamu na kupitia mstari wa kifalme wa Solomoni hadi Yosefu, akionyesha uhalali wa Yesu kama Masiha kwa mujibu wa unabii wa Kiyahudi.

Luka, kwa upande mwingine, aliandika kwa hadhira ya watu wa Mataifa (wasio Wayahudi), na lengo lake lilikuwa kuonyesha asili ya kibinadamu ya Yesu na uhusiano wake wa kweli na wanadamu wote. Ndiyo maana Luka anaonekana kutumia ukoo wa Mariamu, akimtaja Yosefu kama “mwana wa Heli” kwa sababu katika mila za Kiyahudi mwana wa kiume wa mke alihesabiwa kama mwana wa baba mkwe. Heli alikuwa baba wa Mariamu, hivyo Luka anafuata nasaba ya Yesu kwa damu kupitia Nathan, mwana mwingine wa Daudi, badala ya Solomoni.
Tuwapate wapi watu kama wewe ambaye MUNGU amekaa ndani yako!!! Hongera sana Kwa kujibu maswali ya huyo mjinga,
 
NARUDIA Tena Biblia sio Quran ambayo Haina hata jina la mke wa Adam ,biblia ni Pana

Mathayo anaonyesha ukoo wa kisheria wa Yesu kupitia Yusufu mwana wa Yakobo, ili kuthibitisha haki yake ya kifalme na kutimiza unabii wa Wayahudi.

Mathayo 1:16 inasema
"Yakobo alimzaa Yosefu, mume wa Mariamu, ambaye alimzaa Yesu aitwaye Kristo."

Hapa, Yusufu anachukuliwa kama baba wa kisheria wa Yesu, ingawa si mzazi wake wa damu. Hii ni muhimu kwa Wayahudi kwa sababu urithi na haki za kifalme hupitia nasaba ya baba wa kisheria.,

Kwa upande mwingine, Luka anaonyesha ukoo wa damu wa Yesu kupitia Mariamu, akimtaja Yosefu kama mwana wa Heli, ambaye ni baba mkwe wa Yesu.

Luka 3:23 inasema

"Yesu alikuwa na umri wa kama miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alidhaniwa kuwa mwana wa Yosefu, mwana wa Heli."

Luka anafuata nasaba ya asili ya kibinadamu wa Yesu kupitia mama yake, ili kuonyesha uhusiano wake na wanadamu wote.
Narudia Hilo mara ya mwisho kati ya hao wawili yupi sahihi alio tumia ubini wa Mariam au alietumia ubini wa jakobo hatuwezi kua na majibi ya baba wawili mkuu nielewe toa msimamo wa roho mtakatifu acha kuzungusha.
 
Mkuu acha matusi jibu swali Yosefu ana Baba wawili kama bibulia inavo kinzana mathayo vs Luka hupi sahihi?
Kwenu wewe hapo huna baba wawili hadi kumi mbona kawaida hiyo kwenye maisha,unaweza kuwa na Baba wa jambo,tunao baba wakubwa kaka wa baba na tunao baba wadogo wadogo zake baba. Tunao baba wakubwa na wadogo ambao ni waume wa mama wakubwa na mama wadogo. Aaaah mbombo ngafu.
 
Narudia Hilo mara ya mwisho kati ya hao wawili yupi sahihi alio tumia ubini wa Mariam au alietumia ubini wa jakobo hatuwezi kua na majibi ya baba wawili mkuu nielewe toa msimamo wa roho mtakatifu acha kuzungusha.
Wote sahihi, mbona nimefafanua ,au una majibu yako?

Basi Quran yako itupe nasaba ya Yesu
 
Yesu anasema haya maneno kabla ya Allah, Kabla ya Muhamadi na kabla y Qurani:

Mathayo 2017
Hata Yesu alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani; na njiani akawaambia,
18 Angalieni, tunapanda kwenda Yerusalemu; na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi; nao watamhukumu afe;
19 kisha watampeleka kwa Mataifa wapate kumdhihaki, na kumpiga mijeledi, na kumsulibisha; na siku ya tatu atafufuka.
...............
Yohana 10:14
Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi;
15 kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.
16 Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
17 Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.
18 Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
............
Tukumbushane hapa kuwa Neno la Mungu linasema Yesu ni mtakatifu, maana hajawahi kutenda dhambi:
Na anasema kweli kuwa alisulibiwa na aliutoa uhai wake kwa hiari yake mwenyewe:
Miaka mia sita baadae anatokea mtu toka nchi ya mbali anasema Yesu hakusulubiwa:
Hivi hapa kwa akili nyepesi tu nani anasema kweli ?

Kwahiyo Muhamadi anatueleza kuwa Yesu alisema uwongo:
Masihi Mtakatifu aliongopa alipoelezea juu ya kifo chake mwenyewe:

Hivi akina Covax hivi mnatumia akili gani kuelewa taarifa sahihi na taarifa ya kughushi ?

Yaani mnaamini kabisa kuwa Yesu alikuwa anasema uwongo kuhusu maisha yake mwenyewe:
Na ndugu zake Yesu walisema uwongo kuhusu maisha ya ndugu yao Yesu:
Hadi wakacheza Filamu kuelezea maisha ya Ndugu yao Yesu Kristo:
Bado hamuamini

Munakuja kumwamini Muhamadi aliyekuja miaka 600 baadae, hakuwahi kufika Israeli (japo angepata habari flani za Yesu)

Ndio maana tunawaambia mambo mawili:
1: Muhamadi alikuwa ni tapeli tu hana utume wowote:
2: Muhamadi ni mtume wa Shetani, yaani ni Mpinga Kristo aliyejivika vazi la kondoo ili asigundulike kwa badhi ya watu aliolenga kuwapotosha:
 
NARUDIA Tena Biblia sio Quran ambayo Haina hata jina la mke wa Adam ,biblia ni Pana

Mathayo anaonyesha ukoo wa kisheria wa Yesu kupitia Yusufu mwana wa Yakobo, ili kuthibitisha haki yake ya kifalme na kutimiza unabii wa Wayahudi.

Mathayo 1:16 inasema
"Yakobo alimzaa Yosefu, mume wa Mariamu, ambaye alimzaa Yesu aitwaye Kristo."

Hapa, Yusufu anachukuliwa kama baba wa kisheria wa Yesu, ingawa si mzazi wake wa damu. Hii ni muhimu kwa Wayahudi kwa sababu urithi na haki za kifalme hupitia nasaba ya baba wa kisheria.,

Kwa upande mwingine, Luka anaonyesha ukoo wa damu wa Yesu kupitia Mariamu, akimtaja Yosefu kama mwana wa Heli, ambaye ni baba mkwe wa Yesu.

Luka 3:23 inasema

"Yesu alikuwa na umri wa kama miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alidhaniwa kuwa mwana wa Yosefu, mwana wa Heli."

Luka anafuata nasaba ya asili ya kibinadamu wa Yesu kupitia mama yake, ili kuonyesha uhusiano wake na wanadamu wote.

Mathayo anatoa ukoo wa kifalme/kisheria kupitia Yosefu mwana wa Yakobo
Luka anatoa ukoo wa damu kupitia Mariamu lakini anamwonyesha Yosefu kama “mwana wa Heli” (baba mkwe)

1. Luka hajataja kabisa Mariamu kama mzazi au ukoo wake
Luka 3:23 haisemi mahali popote kuwa ukoo huo ni wa Mariamu. Anasema wazi:
“Yesu alikuwa... mwana wa Yosefu, mwana wa Heli.”

2.Hakuna ushahidi wa moja kwa moja katika maandiko kwamba Luka anatoa ukoo wa Mariamu. Hii ni tafsiri ya baadaye ya watu wanaojaribu kupatanisha tofauti kama wewe Hamisi77
3.Sheria ya Kiyahudi haikuruhusu ukoo kupitia mwanamke
Katika tamaduni za Kiyahudi, nasaba ilipita kupitia wanaume si wanawake. Hivyo dai kuwa Luka anatoa ukoo wa Mariamu linapingana na mila ya Kiyahudi,na linaonekana kama juhudi ya kubuni maelezo ya upatanisho.

Yosefu hawezi kuwa na baba wawili*
Mathayo anasema baba wa Yosefu ni Yakobo
Luka anasema ni Heli
Kama Yesu hakuwa mwana wa damu wa Yosefu, basi ukoo wa Yosefu *hauna maana yoyote kwa Yesu — kisheria wala kwa damu.
Mkuu jipange upya ulete utetexi wenye mashiko sisi sio kondo kupokea Kila kitu
 
Back
Top Bottom