Ujumbe mzuri

Ujumbe mzuri

Tatizo langu kubwa ni kusahau aisee, yaan mi huwa sisahau baya lolote nalotendewa, hadi leo hii nayakumbuka mabaya yote niliyotendewa na watu mbalimbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na mabaya pia uliowatendea wenzio nayo hua unayakumbuka au yenyewe umeyasahau?

Maendeleo hayana chama
 
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri katika jamii yetu hii, kikubwa ni kweli tunaweza kuishi kwa kadiri ujumbe ulivyo tufikia? au tutaishia kukupongeza na kuliacha hapa hapa jukwaani? tujitafakari na tujitambue pindi tunapo letewa jumbe ka hizi, ziwe chachu ya kuamsha uvumilivu na msamaha wa kweli toka rorhoni sio msamaha wa usoni tu. Tunakushukuru na kukuombea hekima zaidi ili uendelee kuwa na moyo wa kutukumbusha yale yalio mema.
 
napokea kwa unyenyekevu mkuu... Truly humbled...!!!

Jr
 
Back
Top Bottom